Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Hata mtoto wa kindergarten anajua kuwa hawa NSSF wanaendekeza udini.Kama kuna watafiti ama researchers anzeni kuangalia kuanzia ngazi ya juu chini ndani ya shirika letu tukufu linaloheshimika kwa kufuja mishahara ya wazee wetu wastaafu wasio na hatia kwa mambo ya anasa.
I short huyo muheshimiwa mdau ameweka mitandao ambayo inahalalisha dini yake inapewa kipaumbele katika kila kitu ndani ya hilo shirika kuanzia ajira,kusoma,kupandishwa cheo,mikopo,mikataba minono lakini mibovu na mambo mengi ambayo hayafai kuelezwa kwani yanahitaji pia uchunguzi wa kina.
 
Kilbark

Mbona unajibu kwa emotions? Nimeuliza maswali mepesi ili niweze kuchangia katika mjadala.

Kwa kuwa wewe si mtoto wa kindergarden, naomba unijibu:

Je Dr Dau ni dini gani?

Je Dr Dau ni kabila gani?

Au wewe dini yako ni tofauti na ile ya Dr Dau?

Jibu Hoja please!
 
Kwani Kuna Haja Gani Ya Kulipa Hiyo Kodi, Kama Kodi Yenyewe Inaishia Mifukonio Mwa Wajanja Wachache, Maana Tangu Watanzania Tulipoanza Kuambiwa Kuwa Pato La Taifa Limeongezeka Mara Nyingi Tu,ni Muda Gani Umepita Watanzania Hawana Makuu Wewe Ukiwa Kiongozi Na Ukitaka Kutafuna Pesa Yao Ni Kuwatangazia Tu Figa Uliyopata Halafu Unawaacha Wanapiga Makofi Na Vigelegele Baada Ya Hapo Ni Kuanza Kuzitafuna Tu Maana Najua Huwa Hawaulizi Matumizi.kwani Kenyata Alipomwambia Nyerere Anatawala Marehemu Alikosea?kwani Kutawala Tanzania Kuna Ugumu Gani Hata Chizi Anaweza Kutawala Cha Msingi Awe Muongo Tu, Na Mambo Yatakuwa Bam Bam
 
Hata Kama Wewe Ni Kiongozi Halafu Ukaboronga Mahala Usiwe Na Wasiwasi Cha Msingi Wewe Wapoteze Maboya Tu Yaani Unatafuta Waandishi Wa Magazeti Wawili Unawakatia Halafu Unawatungia Hadithi Yoyote Ya Uongo Kama Vile "nitawaleta Wataalamu Kutoka Thailand Na Watakuja Kutengeneza Mvua Mara Moja Kwa Hiyo Hatutakuwa Na Ukame Daima Na Milele"baada Ya Hapo Wanasahau Mabaya Yako Tena Kwa Miaka Mitano Na Usijali Maana Hakuna Atakayekuuliza. Si Marehemu Hao
 
Tujikumbushe walikotoka hawa wafanyabiashara bwana Manji na Mengi na sasa wengine wanne wakiwa na Rostam.
 
Zanaki aje ajibu hii
 
Unabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…