Mengi: Serikali inanuka rushwa

Mengi: Serikali inanuka rushwa

Huyo Janga la Kitaifa JK ni Julius Kambarage?

Unashindwa kuelewa ni kuwa Urais ni Taasisi na fedha zinazotumika Ikulu ni za Serikali na Serikali ina wajib wakuonesha inayoyafanya, ule ni wajib na si sadaka ile.

Jee, wewe ukitoa sadaka zako unakuja kutangaza JF?

Janga la Kitaifa= jakaya kikwete ( kambarage nyerer hakuwa na muda wa kuuza sura)

mimi huwa sitoi sadaka.

kwani mengi alikuambia kile anachokifanya ni kutoa sadaka?
bado nasisitiza tumia sehemu kubwa ya ubongo wako kufanya maamuzi.
 
Ushaanza kuleta kasheshe hata wiki hujamaliza lol! angalia usijitafutie ban nyingine haraka haraka. Mengi akiwasaidia walemavu na kutangaza ni rushwa, janga la kitaifa akipika ubwabwa na kuwakaribisha walaji na kisha kutangaza leo Ikulu imegawa ubwabwa kwa walaji 1,000 si rushwa!!!!

Tatizo lako ni kama la mwenzako, mnashindwa kuelewa uRais ni nini na u Mengi ni nini. Nimemjibu mwenzako hapo juu unaweza kusoma ukajielewa usipopajua.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Janga la Kitaifa= jakaya kikwete ( kambarage nyerer hakuwa na muda wa kuuza sura)

mimi huwa sitoi sadaka.

kwani mengi alikuambia kile anachokifanya ni kutoa sadaka?
bado nasisitiza tumia sehemu kubwa ya ubongo wako kufanya maamuzi.

Mema aliyoyafanya Kikwete Tanzania hakuna Rais yoyote wa Tanzania aliwahi hata kuthubutu including Janga Orijino.
 
Takukuru Ni Taasisi ya Kukuza na kukomaza Rushwa Tanzania. "Promoting and Consolidating Corruption Beareau"
 
Mema aliyoyafanya Kikwete Tanzania hakuna Rais yoyote wa Tanzania aliwahi hata kuthubutu including Janga Orijino.
Nafsi ikusute unapoandika maneno haya.......
 
lol! ULAIS ni kugawa ubwabwa Ikulu na kisha kutangaza leo Janga la Kitaifa alikaribisha watu 1,000 Ikulu na kuwapa ubwabwa wa nyama.

Tatizo lako ni kama la mwenzako, mnashindwa kuelewa uRais ni nini na u Mengi ni nini. Nimemjibu mwenzako hapo juu unaweza kusoma ukajielewa usipopajua.
 
Mema aliyoyafanya Kikwete Tanzania hakuna Rais yoyote wa Tanzania aliwahi hata kuthubutu including Janga Orijino.


kwa upande wangu nafunga huu mjadala kwa kukuambia tumia sehemu kubwa ya ubongo wako kufanya maamuzi binti.
 
kwa upande wangu nafunga huu mjadala kwa kukuambia tumia sehemu kubwa ya ubongo wako kufanya maamuzi binti.

Ubongo wako hauna upana mzuri wa kufikiri, inabidi uufanyie kazi uwe na wigo mkubwa wa fikra.
 
lol! ULAIS ni kugawa ubwabwa Ikulu na kisha kutangaza leo Janga la Kitaifa alikaribisha watu 1,000 Ikulu na kuwapa ubwabwa wa nyama.

uRais ni kila kitu ukifikiriacho na usichokifikiria;

"mimi ni Rais wa wala nguruwe na wasio kula nguruwe" - Benjamin Mkapa
 
Mhh....ananikumbusha kipindi kile walivyomtosa katika mchakato wa kuinunua Kilimanjaro Kempisk. Kweli serikali inanuka rushwa zaidi ya shombo la samaki ferry.
 
images
SERIKALI YANUKA RUSHWA
images



​

So Rais Kikwete anaongoza serikali ya wala rushwa? Kwa nini anakubali?
 
Mengi mwenyewe tunajuwaje siri yake? mimi huona akitowa rushwa kwa walemavu diamond jubilee. Au ni nini kile?

Eti 2005 ni kambi ya Jakaya Mrisho Kikwete iliyoongoza kwa kutoa rushwa kwa wajumbe wa ccm pale dodoma wakati wa kuteua mgombea wa urais?
 
Eti 2005 ni kambi ya Jakaya Mrisho Kikwete iliyoongoza kwa kutoa rushwa kwa wajumbe wa ccm pale dodoma wakati wa kuteua mgombea wa urais?

2005 lilikuwa ni "chaguo la Mungu" au umesha sahau? unanshangaza!
 
Kwani huyu Mzee amefilisika? Ukion mfanyabiashara kutoogopa kuropokaa basi jua hana la kupoteza, au anataka japo Useneta apate Pensheni ya Maisha.
 
Back
Top Bottom