asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
sioni jipya mengi alichozungumza hapo, kama Rais na chama chake waliingia madarakani kwa wizi wa fedha za EPA na RUSHWA sioni ni kwa namana gani wanaweza kudhibiti rushwa zaidi ya kuiimarisha kuipamba rushwa na kutukuza wizi.