Mengi: Serikali inanuka rushwa

Mengi: Serikali inanuka rushwa

faizafoxy in action and at her best, haoni hasikii sijui nini huwa kinampa kiwi ima utendaji wa JK ama uislamu wanaoushare,

hakuna mwenye akili anayekataa baadhi ya mafanikio yaliyopatilkana chini ya JK, tatizo ni he could have done better and at low cost kwa nchi kuliko alivyofanya, hayo aliyoyafanya nia at the expense of the nation. Ameruhusu mali nyingi za nchi kuibwa, kutoroshwa au kugenishwa katika namna ambayo mtanzania hafaidiki ipasavyo

FaizaFoxy amelewa FUTARI ya ikulu!
 
Expense ya nani wewe? mbona hao wa kabla yake hawajafanya chochote? Unataka mtu aje kukuchimbia dhahabu bila malipo na uwezo huo hauna? kachimbe kwa kucha basi, umezuiwa na nani?

Kachimbe Gas Mtwara kama unaweza, kuna mtu aliyekwambia usichimbe?

Huna ujanja katika teknolojia ni lazima ukitaka "kula, uliwe".
 
Expense ya nani wewe? mbona hao wa kabla yake hawajafanya chochote. Unataka mtu aje kukuchimbi dhahabu bila malipo na uwezo huo hauna? kachimbe kwa kucha basi, umezuiwa na nani?

Kachimbe Gas Mtwara kama unaweza, kuna mtu aliyekwambia usichimbe?

Huna ujanja katika teknolojia ni lazima ukitaka "kula, uliwe".

Uliwe mwenyewe!ULISIKIA GAS&DHAHABU VYAOZA???Mwee!
 
Bado unauliza

1) Barabara za lami kuunganisha mikoa yote
2) Huduma za afya kila kata
3) Uchumi mkubwa kuliko wakati wowote ule
4) Makazi kibao, ushindwe mwenyewe tu.
5) Utalii umekuwa kiasi ambacho hakijawahi kutokea
6) Vyuo vikuu zaidi ya 20 kwa wakati wake tu
7) Demokrasia ya hali ya juu mpaka inapigiwa mfano nchi za nje
9) Umeme toka asilimia 10 waliyoiwa Nyerere, Mkapa na Mwinyi mpaka asilimi 24 kwa miaka 7 tu.
10) Maji masafi leo yanawafkia wengi kuliko wakati wowote ule
11) Viwanda vipya vinachipuwa kila Mkoa kuliko wakati wowote ule

Niendelee?

Endelea utuambie kwa nini kiwango cha elimu nchini kimeshuka kwa kiasi cha kutisha ktk kipindi cha utawala wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete! Au nayo ni maendeleo?
 
Expense ya nani wewe? mbona hao wa kabla yake hawajafanya chochote. Unataka mtu aje kukuchimbi dhahabu bila malipo na uwezo huo hauna? kachimbe kwa kucha basi, umezuiwa na nani?

Kachimbe Gas Mtwara kama unaweza, kuna mtu aliyekwambia usichimbe?

Huna ujanja katika teknolojia ni lazima ukitaka "kula, uliwe".

Kama unavyoliwa wewe!
 
Endelea utuambie kwa nini kiwango cha elimu nchini kimeshuka kwa kiasi cha kutisha ktk kipindi cha utawala wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete! Au nayo ni maendeleo?

Elimu iliuliwa wakati wa Nyerere, sisi tuliowahi mitaala ya ukoloni ndiye tunaweza kulijuwa hilo. Baada ya kuanza kuwafagilisha vyoo na viwanja vya shule na kwenda kuwalimisha wanafunzi pasipolimika wakati wa masomo na kuleta mitaala isiyo na kichwa wala miguu ndipo elimu ikadondoka vibaya sana.

Leo hii unaona Kikwete anafanya kila jitihada kurudisha standard ya kabla ya Nyerere kuiuwa, kumbuka, kujenga ni taabu kuliko kubomoa.

Leo tunaona mashule mengi sana ya Private yanashindana, tunaona na shue za Serikali zikianza mashindano ya kutoa wanafunzi bora, tunaziona shule ambazo hazina ubaguzi na zinapokea idadi yoyote itakayokuwepo, tunaona vyuo vikizidi kukuwa, matunda yake utayaona miaka 20 kuanzia leo, kama unavyouona uozo wa elimu wa wakati wa Nyerere ulivyojitokeza miaka 20 baada ya yeye kung'atuka.
 
Uliwe mwenyewe!ULISIKIA GAS&DHAHABU VYAOZA???Mwee!

Kama haviozi na wewe mwenyewe havikusaidii vitamsaidia nani? na huo uwezo wa kuwasomesha vitavyowasaidia utautoa wapi? utaishia misaada na kuletewa ma scholarship na wale bora hawarudishwi, unafikiri wanazitoa bure zile? zina faida kwao kuliko kwako.
 
Faiza Fox Mungu akupe maisha marefu ya kuwepo hapa JF, Uwepo wako umenifanya kuwa Msomaj zaid ya mchangiaji. Wellcome back Mdada!
 
Kama haviozi na wewe mwenyewe havikusaidii vitamsaidia nani? na huo uwezo wa kuwasomesha vitavyowasaidia utautoa wapi? utaishia misaada na kuletewa ma scholarship na wale bora hawarudishwi, unafikiri wanazitoa bure zile? zina faida kwao kuliko kwako.

Mzazi anaposhindwa kusomesha mtoto analaumiwa na hata kushtakiwa,iweje serikali isilaumiwe kwa kushindwa kusomesha nguvu kazi kwa faida ya kizazi cha baadae???"NINAONA AKILI YAKO IMEGANDISHWA KWENYE MISAADA".
 
Kuna Serikali toka tupate Uhuru inayosomesha watoto wengi zaidi ya hii ya Kikwete? aliyeshindwa kusomesha watoto wa Tanzania ni Nyerere, nenda kamshitaki unangoja nini?
 
“jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. La sivyo, baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo. basi, unapotoa sadaka, usijitangaze. Usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani ili watu wawasifu. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata malipo yao. Lakini wewe unapotoa sadaka, mkono wako wa kushoto usijue mkono wa kulia umefanya nini. Toa sadaka yako kwa siri. Naye baba yako aonaye yaliyofichika, atawapa thawabu. “(mathayo 6:1-4 biblia)

ndio maana nyie mnaiba kisirisiri sadaka zenu nani atayepokea ????? Mengi anafanya coz anajiamini kipato chake ni cha halali hauzi madawa ya kulevya wala pembe za ndovu, nyie mnaiba kodi zetu, mnaficha pesa uswisi, sadaka zenu mbele za mungu imejaa damu tupu
 
Ili awe mfano mzuri kwa jamii hebu arudi kwanza kwenye wafanyakazi wake walioko kwenye kampun zake ajue matatizo yao na jnc gani atawasaidia kisha aende kwa wengine!
 
Hao takukr hawana kazi ya kufanya ni bora wafutwe tu na ndio maana katiba ijayo haiwatambui hawana jipya
 
Back
Top Bottom