bakhressa ni miongon mwa Walipaj wakubwa wa Kodi hapa Tz kwa mujibu wa Ripot za TRa, Bakhressa hafanyi biashara na serikali anafanya na wananchi labda utuambie kama kuna Rushwa unatoa ukipanda boti zake kwenda znz, au anakuhonga ili ununue Chapati au andazi lake, mtu anapiga kazi wote tunashuhudia karibia kila familia kwa siku lazima inunue bidhaa za Bakhressa kutokana na ubora wake halaf mnakuja na mawazo yenu ya kifukara uwa kila aliefanikiwa ni mla au mtoa Rushwa, huyo Mengi na Felix walikuwa Directors kwenye kampun iliyo ghushi vitabu vya Mahesabu ili ionekane inaingiza Faida ili watu wanunue hisa za Nico matokeo yake watu wametapeliwa pesa zao, Mengi anajifanya mtu wa Maadili anaweza kuieleza jamii kuw mpaka 1992 alikuwa hana hisa kwny Kampun yoyote au kuwa na nyumba ya kupangisha kama inavyotakiwa Sehemu ya Tano ya Azimio la Arusha kwa viongoz kipindi hicho akiwa Mkuu wa Bodi ya Uhasibu lakin miaka 2 tangu kuzikwa Azimio 1994 akaibuka na TV,Radi na magazet lukuki, inamaana mtaj wote huo aliupata ndan ya miaka miwil kuanzia 1992 lilipozikwa Azimio, watu wengine wakosoe lakin sio MENGI huyu aliepokelewa kijiti na wahindi, hakuna mhongaji mkubwa wa Awamu ya Pili kama Mengi na ndo maana hutamuona akimkejeli au kuusema vibaya utawala wa Mwinyi, yeye Adui yake ni Mkapa na Kikwete walomfungia vioo alipokuwa akienda kulilia kuuziwa Vinavyobinafsishwa kwa kigezo cha Uzawa pamoja na Mwizi mwenzie Iddi Simba!