Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP,bwana Reginald Mengi,ameseme kauli iliyotolewa na Prof.Muhongo hivi karibuni katika kongomano linalohusu uwekezaji si ya kweli.Katika kongamano hilo,Prof.Muhongo alidai kuwa Mengi anamiliki eneo la mgodi ambalo ukubwa wake ni sawa na mara tatu ya eneo zima la mkoa wa Dar-es-salaam.
Hata hivyo,bwana Mengi amekanusha taarifa hiyo na kudai yeye anamilki eneo la takribani 1 square km tu.Mh.Mengi ametoa maelezo hayo leo katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Binafsi, niliona kongamano hilo ambalo hata Mengi nae alihudhuria.Katika kongamano hilo, Prof Muhongo alikuwa anajisifu,tena kwa kurudiarudia, kuwa yeye kama mwanasayansi anaongea kwa "facts na data" alafu kumbe data zenyewe ni za kupika!Katika kongamano lile Muhongo alitamka bila aibu kwa kusema "Mengi anamiliki Dar-es-salaam tatu".
Mimi naona huyu waziri si mzigo tu bali ni kizingiti cha maendeleo.
CHANZO:ITV