Kweli Dr Mengi anaweweseka facts and figures za last week zilikua siyo Mchezo .... I wish pangekua na video ya alichosema Prof : Muhongo hakusema kampuni ya madini mengi anayomiliki imaukubwa wa dar Es salaam Tatu Bali alisema viwanda anavyomiliki Dr Mengi in total vinaukubwa sawa na dar Es salaam Tatu .... Dr Mengi asipindishe maneno ajibu hoja aseme ukubwa wa viwanda vyake vyote anavyomiliki plus aridhi anavyomiliki wewe kwa shuguli binafsi in total ni ukubwa gani.
Kumbe ule msemo wa kuwa Luna wenye masikio lakini hawasikii Una mantiki....yaani huya kilaza Ana amino kuwa mengi Ana VIWANDA VYENYE UKUBWA Wa Mara tatu ya eneo la DSM!!!! Huo utakuwa n msiba wa taifa km kutakuwa na watu 10 tu wenye mawazo mgando km ya huyu zezeta.