Mengi: Manji anatoa wapi kiburi na ujasiri?

Huyu Mengi naye ni mtu anayependa Public Sympath. Anataka tumwone kwamba kila anachofanya yeyeni sawa tu, akifanyiwa yeye kidogo antuonesha kwenye media zake kwamba kaonewa. Huu ni upuuzi kabisa
 
Mengi hana haja ya kujibisha na kijana ambaye ni sawa na mtoto wake aachane nae ila kama anajua watu wanaompa jeuri hiyo aweke wazi ili tujue kama ana ubia na plot no 1 pale ferry.
 
Huyu Mengi naye ni mtu anayependa Public Sympath. Anataka tumwone kwamba kila anachofanya yeyeni sawa tu, akifanyiwa yeye kidogo antuonesha kwenye media zake kwamba kaonewa. Huu ni upuuzi kabisa

Kipi ni upuuzi? Gembe aliuliza haya:

Huu ndio ulikuwa mjadala.

Na haya ndio mambo yanayotia kichefuchefu

.
 
Kweli ndugu yangu. Huyu kaka mengi ananishangaza yeye ana vyombo vya habari tena vilivyokubuhu katika kupata taarifa, sasa anaogopa nini kuwataja hao wanaompa kiburi mla dengu manji. Kila kukicha analia tu. AONGEE BWANA. Naona hana mshauri siku hizi angalau wakati wa Mkewe Mercy alikuwa anamshauri, sasa kaenda kwa Rita oops Rita kapuni, naambiwa ana kimwana mdogoo ( GD ) atamshauri nini? ukiwa na dogodogo na wewe unakuwa dogo unaishia kulia
 
Hii nchi watu wameanza kuitafuna enzi na enzi kudaadeki!
 
Kawaida..tu!!...Nafikiri Ni Muoga tu...Ndio maana Hakuja..
Mzee Mengi endelea na kazi zako!!....Achana naye...
Mengi na Manji wote ni wana Yanga hao wanapigana vita ya uongozi, inaelekea Mengi alibwagwa......
 
Nowdays manji kwisha kabisa
King of Real Estates in Tanzania,anafungua american supermarket pale quality centre.Kumbuka coco beach nayo anamiliki,serikali inamuomba awarejeshee
 
Mkuu Gembe, ile ni kesi ya madai, ukiishatuma wakili wako, huna tena haja ya wewe kuwepo mahakamani!, kesi ambazo mhusika lazima awepo mahakamani ni kesi za jinai!.

Pasco
 
si ilikuwa kesi ya madai? si lazima awepo mahakamani kwani wakili wake yupo
 
Kawaida..tu!!...Nafikiri Ni Muoga tu...Ndio maana Hakuja..
Mzee Mengi endelea na kazi zako!!....Achana naye...
Mzee huyu anataka huruma ya wananchi wote ni wale.wale Maji na Megi mnatubore au mmenyanganyana mademu ?
 
Mkuu huwezi amini saivi wanaomtetea manji aliemtukana mstusi ya nguoni Mheshimiwa Ndesa Mburo R.I.P ni wanachama wa Chadema japo na mimi ni mwanachama lakini nashangaa sana huu uzumbukuku wa hawa wenzetu.
 
Hizo ndo akili za binadamu !
 
Huo ni ushabiki wa kipumbavu unapinga mashambulizi kwa adui yako kisa anayempiga naye ni adui yako mwisho wa siku unaonekana mpumbavu tu
Tatizo la vijana wengi hawana AKILI HURU wanaendesha mijadala kwa kutegemeana na viongozi wao wamesema nini au wametoa msimamo gani, inapotokea viongozi wao wamekuwa kimya inakuwa JANGA kubwa sana maana hata kumbu kumbu inaonekana kwao ni ndogo sana au ni ujasiri tu wa UNAFIKI mtu anajikana mpaka VIDEO
 
Hii ni fact Mkuu Sina la kuongeza thank you.
 
daa mfadhili wa ccm vipi alikataa kutoa hela nini ndo maana ya hii misukosuko ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…