Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 164
Wakuu habari za leo,
Jana Baada ya kutolewa kwa shauri kati ya madai ya Manji kukashifiwa na ITV katika moja ya taarifa zake za habari, ila ITV wameshinda kwa kutokuonekana na hatia yoyote kutokana na shauri hilo.
Baada ya Kutoka ndani ,Mzee mengi akihojiwa na waandishi wa habari, aliuliza watanzania, ''Hiki Kiburi na ujasiri alionao Manji nani anampa? Mzee mengi alisema anatoa wapi nguvu hizi? Hii ni baada ya Manji kukosekana pale katika siku ya kutoa maamuzi. Hii mzee Mengi aliona kama ni dharau kubwa kwake. Manji aliwakilishwa na wakili wake.
Najua mna mambo mengi ila naomba tujibu swali la Mzee Mengi, Je Manji anatoa wapi kiburi cha na namna hii na ujasiri mkubwa kiasi hiki?? Nani anampa? Nani yuko juu yake?