Mengi: Manji anatoa wapi kiburi na ujasiri?

Huyu Bwana mdogo bwana ni mojawapo wa mafisadi wadogo kwenye nchi hii. Mimi sina ubaguzi wa rangi ila kwa kweli hawa watu wenye ngozi ambayo sio nyeusi hwana huruma kabisa na nchi hii.. Anza kuhesabu kila kona utakuta watu wenye rangi fulani ndio wanaongoza kwa kuwapa rushwa wakubwa wa nchi hii. Kama mtakumbuka Mkapa alivyoingia ikulu alisema hataki urafiki na watu wa rangi ile, sio kwamba alikuwa anawabagua bali alijua ni watu hatari sana. Angalia deal zote kubwa kwenye nchi hii name it.. Radar, Ndege ya Rais, Richmond, Dowans, Kwenye majumba yetu ya NHC, utaona ukweli.

Anaempa kiburi huyu bwana mdogo ni Utawala wa nchi hii. Simple
 
Mkuu,

Kiburi cha Manji tumempa sisi wenyewe, Waswahili ambao kupitia ufisadi
tumemwachia achume atakavyo. Utajiri uliokithiri kupitia njia za mkato huwa unaongeza kiburi mno.

Tuliwalaumu mababu zetu kuuza nchi kwa pipi na gobore? Hawa viongozi wetu wa sasa wanauza nchi kwa bei poa kuliko hata wale mababu zetu.

Mtu kama Manji, kwanini asidharau Watanzania baada ya kuona yeye anatajirika kwa cost ya wananchi wetu wengi?

Hatuna wa kumlaumu zaidi ya ndugu zetu ambao wamejifanya vikaragosi vya Manji shauri ya pipi anazotoa.

Kweli kabisa Mtanzania,

Kiburi cha Manji kinatokana na wale wanaomtetemekea na "kumpa mabusu" kama wamelaaniwa vile. Sasa hivi ana mtu wake wizara ya fedha na kwenye ukatibu na ngazi ya juu ya uongozi wa chama yeye ni nani asiringe?

Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
teh teh,

Hivi mtu mzima kama katibu mkuu kumbusu na kumpapatikia Mwanaume kisa pesa inaleta maana??
haya ndiyo yale yale unakuta Mbunge anatishia kuacha ubunge kisa eti amekataliwa jambo fulani analolitaka liwe,

hivi nani anawapa aliwapa uraia watu hawa??na kiburi cha kuwa watanzania wanakitoa wapi??,na mimi naomba kuuliza
 
Hivi huyu Yusuf ana uhusiano na yule Inat Manji? Aliyewahi kutafuta nafasi ya kugombea ubunge kupitia Sisiem kule Temeke/Kigamboni?
 
...Mimi sina ubaguzi wa rangi ila kwa kweli hawa watu wenye ngozi ambayo sio nyeusi hawana huruma kabisa na nchi hii

...Kama mtakumbuka Mkapa alivyoingia ikulu alisema hataki urafiki na watu wa rangi ile, sio kwamba alikuwa anawabagua bali alijua ni watu hatari san[/COLOR]

...Anza kuhesabu kila kona utakuta watu wenye rangi fulani ndio wanaongoza kwa kuwapa rushwa wakubwa wa nchi hii...Angalia deal zote kubwa kwenye nchi hii name it

.. Radar, Ndege ya Rais, Richmond, Dowans, Kwenye majumba yetu ya NHC, utaona ukweli.

Anaempa kiburi huyu bwana mdogo ni Utawala wa nchi hii. Simple

Kusema Wahindi hawana huruma na nchi kwa sababu wanaongoza kwa kutoa rushwa kwa wakubwa ni sawa na kusema Wanaume ni wazinzi kuliko Wanawake. Wanazini na nani?

Adolf Hitler alipotaka kuhamisha lawama za udhaifu wa nchi yake akawaambia watu kwamba tatizo ni Wayahudi. Alijua ni rahisi kutawala kama watu wanaamini unavyo waambia.

Tatizo ni sisi na Serikali yetu. Unafikiri kina Chenge na kina Billal wanaweza kwenda India kufanya u-Rostam Aziz na u-Chavda bila kudedishwa na uweusi wao? Tafadhali!
 
Hawa wahindi wanajikaribisha kwa viongozi wetu, na kwa sababu viongozi wetu wana tamaa ya mali wanakubalia na kuwaacha waibe mali za watanzania na kuwaacha watanzania hawana kitu.
 
Ok,woote mumenena
Sasa nini kinafuata?tuanze kuwabagua wahindi,waarabu,na wageni wote,si ndiyo wajamani?njia rahisi ni kutoshirikiana nao kwa lolote lile nchi nzima,hata bidhaa zao hakuna kununua,na wala kazi hakuna kufanya kwao,na kibano ikibidi tuwapatie,black power juuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
"Siku mkiiona hii nchi inatawaliwa na wafanya biashara mjue ianaelekea pabaya" Mwl Julius K. Nyerere.

"Tuvunjeni kwanza mageiti kati yetu ili tuweeze kuzumngumza" Prof S. Chachage
 
ila bado tunajiuliza nani anayempa kiburi Manji,Je ni huyu aliyempiga Mabusu tu au kuna Mwingine juu ya mengi.

Na hii tabia ya Mzee Mengi kulia lia kama mtoto ameitoa wapi,kama anaona anaonewa kwanini asiwataje hao ambao wanampa kiburi Huyu kijana kuliko kutoa Speculation tu ?

Jana Mengi alionekana kwenye teli (TV), na alikuwa mnyonge kishenzi. Ni wangapi wamejitokeza hadharani kumuunga mkono?
I wonder what is happening!

Nataka kuamini kwamba alitaka kusema jambo.
 
2020na8.jpg

Manji mnayemuongelea ni huyu?
 
Huyu Manji jamani ni fisadi mwingine mkubwa sana! Kumbuka alikula na hao jamaa wa NSSF na PSPF akawauzia majumba yake mawili kwa takribani dola 85 million (dola za US sio za Zimbabwe!). Kama wewe unachangia NSSF au PSPF huyu ki msingi alikuibia pesa yako! Huyu jamaa ni jeuri wa ajabu! Ameenda kuifadhili yanga ili kupata support ya maskini waswahili ambao wakilipiwa kiingilio basi wanaanza kumsujudu! Huyu na Dau na Kapuya nk ni mtandao mbaya sana. Naamini pamoja na mapungufu anayoweza kuwa nayo Mengi bado ni mfano mzuri wa wazawa na wazalendo! Ni mtu anayejua kulalamika anapoguswa! Huyu jamaa anaongea taratibu lakini ni bonge la mtu aggressive kwa maana ya neno lenyewe!
 
Kila mara Mzee wetu Mengi anapenda sana kuitafuta "huruma" ya Watanzania hata kwa masuala binafsi! Nashangaa sana Mzee wetu huyu hakuonyesha "huruma" hiyo wakati ule wa JACKPOT BINGO.Angewauliza tu watu wa Mahakama taratibu zikoje wakati wa kesi kama hiyo ya kwake.
 
Kiburi chake kinatoka mbali sana. Ila kwa jinsi ninavyofahamu mimi naona huenda jamaa ana siri-kali ya Jamhuri ya Muungano katika mfuko wake. Hakuna wa kumgusa maana jamaa ana ulinzi wa kutosha juu ya pesa alizonazo.

Na pia kuna kitu cha kushangaza pale alipokuwa akiandikwa kwa mabaya ya kuihujumu siri-kali na kununua kiwanja cha waislamu. Hakuna mtu wa serikanli aliyenyosha mkono kumkamata na wala hakuna aliyejaribu hata kufuatilia undani wa habari zenyewe ili kujua kama ni uzushi au la. Cha zaidi ni kwamba aliendelea kupata mialiko IKULU (mahali patukufu) kwa ajili ya kula neema ya watanzania.
 
Manji ni mtoto mdogo sana,hawezi kuwa na SIRI kali na Nchi,Sema anatumiwa na nchi baada ya wao mambumbumbu kuhongwa pesa za chafu.

Mwisho wao ni hivi karibuni wala siku si nyingi,siku ambyo watanzania watapata Neema,watafurahi kuangushwa kwa hawa wamaojaribu kuiweka Nchi rehani,Machozi yananitoka sababu naomba mwalimua rudi aje aone uozo huu unaoendela katika nchi yetu
 
mengi apenda kujilizaliza kama mtoto vile hsna tofauti na mtoto mwenzie anapotendewa kizuri nae ataka atendewe pia nae mengi ni miongoni mwao
 
Huyu mengi asituzingue tatizo lake anajiona Mungu mtu na anazani na watanzania wote twamuona Munga,maskini angejua!!!mbona tunajua makando kando yake mengi!kama lilivyojina lake..yeye anapenda kila kitu kizuri afanye yeye (mfano mdogo pale anapotaka kuwaaribia Maisha vijana Maskini kabisa wa ZE COMEDY)kwa gharama yoyote ile.aache kelele kama mtoto kama anataka ukubwa lazima apambane na makubwa,Mwee!tumemchoka!
 
Jamani watanzania tumezidi kwa unafiki!! Nataka kuwauliza wa JF eti Rostam kosa lake nini!!kwani kuna ubaya gani kujitetea kupitia kadamnasi?arafu kwani yeye ni FISAdi au mtuhumiwa? mimi nawashanngaa hao wanaojihitawahumini wenye dhambi lukuki kama mf.Mchungaki C.kujiweka mstari wa mbele kupiga kelele...Kwanza huyo mchungaji tumeshapewa nyeti kwamba Upstairs....so hatusumbui.Hawa wengine nao waliotoka mikoani wameshindwa kuwahamasishwa waumini wao wamrudie mungu kwa kupunguza makosa yao na kuwasaidia Maskiniwanakuja huku kupiga kelele kwa kumlaumu mtu anaetetea nafsi yake.Mbona wameshindwa kuandamana kwa mengi mabaya yanayofanywa na viongozi wao wa dini kama UFISDi na kugombea madaraka haya ya KANISA hilo!Please mumuache ROSTAM kwani naye ana haki ya kujitetea.Ebo!!!
 
Hii inaingiaje hapa, ina belong kwa thread ya Rostam.
 
Ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni! Mendi analalamika nini yeye mwenyewe ni m/kiti wa makampuni yanayotengeneza bidhaa feki. Colget ziko kama mihogo, Sunfill baada ya kuexpire zinafanyiwa promotion haoni huo ni uuaji kama si ufisadi? Afanye yale yamhusuyo kwa jamii aachane na unafiki wa kujifanya yu karibu na mungu.
 
Back
Top Bottom