Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 2,790
- 1,232
Mzee huu si mzaha...kima cha chini ni kweli kilo nne na nusu...imeonyeshwa kwenye habari ITV juzi au jana hivi...Ganja bwana noma

Ni Doctor Reginald Mengi yule mmiliki wa makampuni ya Ipp media ameamua kuwajali wafanyakazi wake wote kwa kujali maslahi yao. Ni kwamba sisi wafanyakazi wa kawaida ametupandishia mshahara. Kima cha chini ni Tsh 450,000/=, TUNAMSHUKURU SANA, kwa upendo wake kwa wafanyakazi wake. Tunamuombea baraka tele,
Serikali iige iache kukandamiza wafanyakazi kwa kuwapa kima cha chini 120,000/=.

Hongera sasa kwakulipwa hizo TSH: 450,000! Lakini nakusikitikia sana angalia hapa chini:
Total-450,000.
Kodi ya nyumba kama sikosei unaishi vyumba viwili: Sh: 40,000 kwa mwezi.
Usafiri wa daladala kwa siku kwenda na kurudi siku 27 ndani ya mwezi: Sh: 16200
Budgeti yako ya kula kama sikosei unafamilia ya watu watatu, mke na watoto wawili kwa mwezi: 200000
Matumizi ya dharura kwa mwezi: kuugua na mambo mengine ya ziada: 150000.
Natumaini unasimu ya mkononi fanya kwasiku unatumia dola 2 sawa na Sh 2000 x 31 = 62000.
Jumla ya gharama zote hapo juu ni Sh 468200! Hongera sana kwakulipwa Sh 450,000:clap2:

kumbe Mengi anatisha ,ipp inawapita hata wafanyakazi wa Barrick ,noma wafanyakazi barrick kima cha chini ni. TSH 350,000/= , wageni yaani wafanyakazi wazungu wanalipya kima cha chini USD .10,000/= .AIBU tupu. wabongo wanakufa na sumu za migodini. wazungu wanakula kiyoyozi tu.!!!! poa lakin hamna noma ....CCM hiyo!!! lakin mwisho upo!!!!
Hongera sasa kwakulipwa hizo TSH: 450,000! Lakini nakusikitikia sana angalia hapa chini:
Total-450,000.
Kodi ya nyumba kama sikosei unaishi vyumba viwili: Sh: 40,000 kwa mwezi.
Usafiri wa daladala kwa siku kwenda na kurudi siku 27 ndani ya mwezi: Sh: 16200
Budgeti yako ya kula kama sikosei unafamilia ya watu watatu, mke na watoto wawili kwa mwezi: 200000
Matumizi ya dharura kwa mwezi: kuugua na mambo mengine ya ziada: 150000.
Natumaini unasimu ya mkononi fanya kwasiku unatumia dola 2 sawa na Sh 2000 x 31 = 62000.
Jumla ya gharama zote hapo juu ni Sh 468200! Hongera sana kwakulipwa Sh 450,000:clap2:
Ndallo we unataka kazi ikumalizie shida zako zote?Hongera sasa kwakulipwa hizo TSH: 450,000! Lakini nakusikitikia sana angalia hapa chini: