dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,825
- 3,662
Ajibu kisomi kwani yeye msomi? babu tale ni mjanja mjanja tu hapa mjini hana weledi huo unaoutaka weweShigongo alitengeneza hoja fresh tu kwenda kwa Naseeb Abdul na uongozi wake.
Babu Tale baada ya kujibu hoja kuhusu Diamond yeye kaja kufumua mambo ya Harmonise na show Dar Live mara anayashutumu magazeti ya Shigongo.
Mwanzo sikumuelewa Shigongo na kumuona kavurugwa ila kama haya majibu ya Babu Tale yamenifanya kuona tatizo liko wapi.
Kama Tale angejibu hoja kwanini Diamond anafanya show kwa Milioni 100 angevunja vunja hoja zote za Shigongo ila naona Tale kaamua kupambana kitoto na sio kisomi.