Mene mene tekeli na peresi - Lema

Mungu amekupa jibu lako
Braza, katika maisha yangu nimewahi kutendewa miujiza kadhaa na Mungu ila huu umekuwa Mkubwa sana hata najiuliza BWANA WA MAJESHI Mimi ni nani hata ukanijibu kwa matendo Makuu Kiasi hiki, mbona Mimi ni udongo tu, mtu wa chini kabisa asiyefaa kitu! Hakika Nitamshkuru na kumsifu Mungu wa sikuzote za maisha yangu Mkuu! Bwana ni Mwema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…