Mende!! Mende!!

Mende!! Mende!!

Asanteni kwa maoni tutayafanyia kazi...

Paloma chanzo kingine ni.wingi wa makaratasi ofisini huchangia sana kutunza vimende vidogo dogo!
 
Last edited by a moderator:
Kuna spray inaitwa RAID IT, (na wala siyo HIT zingatia hilo)
Zamani kopo lake lilikua na rangi nyeusi na nyekundu, siku hz ni rangi ya dhambarau na nyeupe,hii ndio kiboko.
Kuna jamaa zangu wale wa MBAGALA ,waliwaamisha wale mende wao wote kule kwao ,wakawaleta ofisini,tukawamaliza wote.
 
hao ni mende wanaitwa German cockroach ni wagumu sana kufariki na wanazaliana kwa wingi, ingelikuwa niko karibu na ulipo ningelikupa dawa lakini niko mbali
kama utaweza kuipata inaitwa DUPONT ADVION cockroach gel bait
 
please naomba nipatie maelekezo mazuri kuhusu hii dawa! Au nikigoogle ntapata kila kitu?
 
Kuna spray inaitwa RAID IT, (na wala siyo HIT zingatia hilo)
Zamani kopo lake lilikua na rangi nyeusi na nyekundu, siku hz ni rangi ya dhambarau na nyeupe,hii ndio kiboko.
Kuna jamaa zangu wale wa MBAGALA ,waliwaamisha wale mende wao wote kule kwao ,wakawaleta ofisini,tukawamaliza wote.

thanks nitajaribu pia!
 
Asanteni kwa maoni tutayafanyia kazi...

Paloma chanzo kingine ni.wingi wa makaratasi ofisini huchangia sana kutunza vimende vidogo dogo!

ndo najua leo hii! Ina maana hata kama makaratasi ni masafi?
 
Last edited by a moderator:
Paloma to be honest, dawa ya kuuwa mende siijui, nakumbuka mara ya mwisho kuona mende home kwetu i was in primary school. But nawasikiaga watu wanaolalamikia tatizo hilo wakitumia Xpel, wengine RUNGU hebu jaribu hizo.

Pamoja na mwawazo mengine uliyopewa na wadau.
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji kama 50 hivi kwa ajili ya disection nina wanafunzi wangu nawafundisha practical. Tuongee biashara basi.
 
sijui kama ukigoogle unaeza kupata lakini zaidi inatumiwa na makampuni makubwa ya pest control na zaidi kwa hapa nyumbani sifikiri kama utaeza ipata dukani, jaribu kwenye makampuni yanayofanya usafi kwenye meli au ndege unaeza bahatika
please naomba nipatie maelekezo mazuri kuhusu hii dawa! Au nikigoogle ntapata kila kitu?
 
wabwanga na wandee ja JF, heshima kwenu!!!

kuna kitu kinanikera jabu mwenzenu - mende!!! MENDE!!
Naombeni kujua ni dawa gani inaangamiza mende!!! nashukuru mungu nyumbani kwangu hakuna mende lakini ofisini hakuishi mende!!! nahisi nitawabeba na kuwapeleka nyumbani soon!! fumigation inafanyanyika lakini after some days - not even a week- mende utafikiri wametotoleshwa!!! aibu sana! unakuta mko kwenye meeting ghafla kimende kinajipitisha hapo mezani!!! ......hata sijui nishangaaje...
kuna watu pia nimeshawasikia wanalalamika huko majumbani kwao kuwa kuna "vijifactory" vya mende!!! najiuliza ni kuwa madawa ya fumigation yanachakachuliwa? au hayachanganywi vizuri? au mende wameshazoea dawa? au ni uchafu tuu wa mazingira? au ni nini jamani??
Mtambuzi hivi hapo kwenu mnazuiaje mende??? Madame B na mjeda wako (aitwa nani vile...) mnauaje mende? watu8 Asprin Kaizer amu Remmy Kipaji Halisi KakaKiiza figganigga sosoliso saudari Bujibuji charminglady King'asti............ Bishanga Jiwe Linaloishi Mamndenyi Vin Diesel KOKUTONA YNNAH mwaJ
mchango wenu katika kuangamiza mende unahitakija hapa
Ni process ndefu kidogo lakini inafanya kazi kwa uhakika 100%. Nenda kwa wachina-china kanunue mijusi uwachilie ndani kwako, watakuwa wanawala hawa mende kwa kasi ya ajabu. Mende wakiisha utakuwa na tatizo la mijusi kwa sababu watazaliana. Baada ya hapo nenda kakodishe paka uwaweke ndani kwako, watakula mijusi wote. Mijusi wakiisha warudishe paka kwao.
 
wabwanga na wandee ja JF, heshima kwenu!!!

kuna kitu kinanikera jabu mwenzenu - mende!!! MENDE!!
Naombeni kujua ni dawa gani inaangamiza mende!!! nashukuru mungu nyumbani kwangu hakuna mende lakini ofisini hakuishi mende!!! nahisi nitawabeba na kuwapeleka nyumbani soon!! fumigation inafanyanyika lakini after some days - not even a week- mende utafikiri wametotoleshwa!!! aibu sana! unakuta mko kwenye meeting ghafla kimende kinajipitisha hapo mezani!!! ......hata sijui nishangaaje...
kuna watu pia nimeshawasikia wanalalamika huko majumbani kwao kuwa kuna "vijifactory" vya mende!!! najiuliza ni kuwa madawa ya fumigation yanachakachuliwa? au hayachanganywi vizuri? au mende wameshazoea dawa? au ni uchafu tuu wa mazingira? au ni nini jamani??
Mtambuzi hivi hapo kwenu mnazuiaje mende??? Madame B na mjeda wako (aitwa nani vile...) mnauaje mende? watu8 Asprin Kaizer amu Remmy Kipaji Halisi KakaKiiza figganigga sosoliso saudari Bujibuji charminglady King'asti............ Bishanga Jiwe Linaloishi Mamndenyi Vin Diesel KOKUTONA YNNAH mwaJ
mchango wenu katika kuangamiza mende unahitakija hapa

Jaribu baits za wadudu wa majumbani. akuna inayotengezwa kwa boric acid powder nai nzuri sana. Hii sio sumu kwa bindamu ni mtego wa kuangamiza kizazi chao.
 
Jaribuni kupunguza kutupa vyakula kwenye madustbin yenu ofisini mwenu mende huwa wanapenda mazingira hayo. Vile vile kama inawezekana ofisini yenu wekeni tiles mende na panya hawapendi tiles. Na mwisho kabisa pigeni fumigation lakini na kuna dawa fulani kama chenga chenga nishasahau inaitwaje inauzwa kwa hao hao wanaouza dawa za fumigation muweke katika kila kona ya nyumba au ofisini usiku mende mtasahau.
 
Kuuwa Mende? Botswana wana VERY STRONG CHEMICAL.

Huyu Mchina alishapewa dawa na akawamaliza wote. Mende wenyewe wakubwa sana sana, BIG LIKE HEAD'a.

Last edited by a moderator:
ndo najua leo hii! Ina maana hata kama makaratasi ni masafi?

Hao Mende wadogo wanapatikana sana kwenye makaratasi, unapaswa ukabiliane nao atleast kila wiki kwa kutoa vitabu vyote nje na kupiga dawa, pia hakikisha store unaifanyia usafi kila Mara na jikoni, hope watapungua sana ila hawawezi kuisha!
 
Nahitaji kama 50 hivi kwa ajili ya disection nina wanafunzi wangu nawafundisha practical. Tuongee biashara basi.

hehehehee njoo uvikamate ni vidogovidogo sana....
 
Jaribuni kupunguza kutupa vyakula kwenye madustbin yenu ofisini mwenu mende huwa wanapenda mazingira hayo. Vile vile kama inawezekana ofisini yenu wekeni tiles mende na panya hawapendi tiles. Na mwisho kabisa pigeni fumigation lakini na kuna dawa fulani kama chenga chenga nishasahau inaitwaje inauzwa kwa hao hao wanaouza dawa za fumigation muweke katika kila kona ya nyumba au ofisini usiku mende mtasahau.

oooh......kumbe!!! kuna carpet.............ooooh! kazi tunayo!
asante mkuu ntazungumza nao
 
Back
Top Bottom