wadogowadogo ni mboga kama dagaa mchele wakubwa ndio kimeo
Nawaitaji kwa ajili ya kufanyia practical.
wadogowadogo ni mboga kama dagaa mchele wakubwa ndio kimeo
Nawaitaji kwa ajili ya kufanyia practical.
Tumia Rungu, wakati unafunga ofisi puliza dawa ya kutosha hadi kwenye penyo zote kesho yake ukija utakuta kibao wamekufa na wengine wataendelea kufa kadri ya siku zinavyokwenda.
Ushuhuda: mimi nimeanza kazi mwaka jana nilipewa nyumba ambayo ilikuwa na mende kibao kabla ya kudeki nilipuliza dawa kila kona nikaacha kama siku tatu hivi mende wote wameisha na sasa naishi kwa raha zangu. Dawa si lazima rungu ila spray yeyote inafaa ingawa mimi natumia mara nyingi na Hatari
hata binadam ni viumbe wa Mungu...na wanakera balaa!
heheheheheh mende wale wadogo usishangae ukawabeba hadi kwako......au ukiwa na mashosti ndo wanaibuka...... wakati fulani ofisi fulani niliamua kupulizia expel kila jioni baada ya malalamiko yangu kuona hayafanyiwi kazi sijui itakusaidia????
Fumigation iwe ni mara kwa mara ili vile vimende vidogo viwe vinakufa kabla ya kutaga mayai. Pia kuzingatia usafi, msiache mabaki ya chakula yalale ndani. Pia msiache vyombo vichafu.
Asprin ni mtaalamu wa ujenzi....nisaidie basi!
Pole kaka, hao hata mimi niliwahi kuwahamishia kwangu kutoka kazini, nikawamaliza na DIOZON. sijui kama nimepatia jina lake, nilinunua pale mwenge kwenye maduka ya dawa zamifugo.....
Mimi nasumbuliwa na mijusi, l have no idea what to do.
wabwanga na wandee ja JF, heshima kwenu!!!
kuna kitu kinanikera jabu mwenzenu - mende!!! MENDE!!
Naombeni kujua ni dawa gani inaangamiza mende!!! nashukuru mungu nyumbani kwangu hakuna mende lakini ofisini hakuishi mende!!! nahisi nitawabeba na kuwapeleka nyumbani soon!! fumigation inafanyanyika lakini after some days - not even a week- mende utafikiri wametotoleshwa!!! aibu sana! unakuta mko kwenye meeting ghafla kimende kinajipitisha hapo mezani!!! ......hata sijui nishangaaje...
kuna watu pia nimeshawasikia wanalalamika huko majumbani kwao kuwa kuna "vijifactory" vya mende!!! najiuliza ni kuwa madawa ya fumigation yanachakachuliwa? au hayachanganywi vizuri? au mende wameshazoea dawa? au ni uchafu tuu wa mazingira? au ni nini jamani??
Mtambuzi hivi hapo kwenu mnazuiaje mende??? Madame B na mjeda wako (aitwa nani vile...) mnauaje mende? watu8 Asprin Kaizer amu Remmy Kipaji Halisi KakaKiiza figganigga sosoliso saudari Bujibuji charminglady King'asti............ Bishanga Jiwe Linaloishi Mamndenyi Vin Diesel KOKUTONA YNNAH mwaJ
mchango wenu katika kuangamiza mende unahitakija hapa
Fuga mijusi