I love them mendez, thats why mimi na toilet ni marafiki wa karibu.wabwanga na wandee ja JF, heshima kwenu!!!
kuna kitu kinanikera jabu mwenzenu - mende!!! MENDE!!
Naombeni kujua ni dawa gani inaangamiza mende!!! nashukuru mungu nyumbani kwangu hakuna mende lakini ofisini hakuishi mende!!! nahisi nitawabeba na kuwapeleka nyumbani soon!! fumigation inafanyanyika lakini after some days - not even a week- mende utafikiri wametotoleshwa!!! aibu sana! unakuta mko kwenye meeting ghafla kimende kinajipitisha hapo mezani!!! ......hata sijui nishangaaje...
kuna watu pia nimeshawasikia wanalalamika huko majumbani kwao kuwa kuna "vijifactory" vya mende!!! najiuliza ni kuwa madawa ya fumigation yanachakachuliwa? au hayachanganywi vizuri? au mende wameshazoea dawa? au ni uchafu tuu wa mazingira? au ni nini jamani??
Mtambuzi hivi hapo kwenu mnazuiaje mende??? Madame B na mjeda wako (aitwa nani vile...) mnauaje mende? watu8 Asprin Kaizer amu Remmy Kipaji Halisi KakaKiiza figganigga sosoliso saudari Bujibuji charminglady King'asti............ Bishanga Jiwe Linaloishi Mamndenyi Vin Diesel KOKUTONA YNNAH mwaJ
mchango wenu katika kuangamiza mende unahitakija hapa
I love them mendez, thats why mimi na toilet ni marafiki wa karibu.
Najua kuna mijitu itasoma katikati ya mistari hapo. Wizi mtupu!
Hehehehehehe....... chakula cha mende saffffeeeeeeeeeeeyyy!!Siku hizi hatusomi btn the lines.....tunasoma btn the characters....
Mende Safeeeeeeeeeeeeeeeewey
hawa waDUDU mende sijui kama wanaletamaradhi, ila hayo maDUDU mengine yanaleta maradhi mabaya sana hasa kinga za mwili.
Hehehehehehe....... chakula cha mende saffffeeeeeeeeeeeyyy!!
BTW leo si jumamosi au?
Hehehehehe.......... leo ni siku ya mazoezi ya kwaya yetu....Naam....leo ni siku ya kulipa kodi......
Kikombe alichonipa baba, sitakinywa??wakajumuika pamoja na msa....i!!!
ha ha ha ha ha mbon shafooo klemeeeeeee
wabwanga na wandee ja JF, heshima kwenu!!!