Mende!! Mende!!

Mende!! Mende!!

Hehehehehe.......... leo ni siku ya mazoezi ya kwaya yetu....

CCM ndie mamaaaaaa!

Biya safffffeeeeeeeeeeeeeeeeyy??

Nasikia hiyo kwaya yenu mnapooza koo kwa kunywa vile vinywaji kodi yake inaendesha nchi.....
CCM daimaa.
 
Yeah, vitu vikishapanda kichwani baada ya mfuko kutoboka na wallet kubakia tupu, tunakikumbuka chama twawala.

Mapinduzi lelemamaaaaa! Sisiyemu ndie mamaaa!!
 
Paloma wene mndee iwe...mi nilidhani ni "Mende" kumbe ni mende? hao hawana shida aangalieni mtu anayewafanyia fumigation anatumia dawa gani, zipo dawa za aina tofauti tofauti ntakutafutieni mtu/ Kampuni tunayoitumia ofisini kwetu, kwa nyumbani kwangu ni suala la usafi tu
 
Last edited by a moderator:
Mende kuwashikisha adabu principle ni moja tu. Usafi na kupanga vitu vyako vizuri, usiwape nafasi maana wanapenda sehemu zilizojificha jificha zisizo na hewa wala mwanga wa kutosha. Ukicombine hii pomoja na dawa walizosuggest waungwana hapa, hakika nakwambia mende utawasikia kwa majirani Paloma
 
asante mbwanga ja town!!! nasubiri hiyo kampuni maana hili janga ni ofisini!

Mende kuwashikisha adabu principle ni moja tu. Usafi na kupanga vitu vyako vizuri, usiwape nafasi maana wanapenda sehemu zilizojificha jificha zisizo na hewa wala mwanga wa kutosha. Ukicombine hii pomoja na dawa walizosuggest waungwana hapa, hakika nakwambia mende utawasikia kwa majirani Paloma

mkaka Kaizer nyumbani sina mende! ofisini ndio baraaaa......labda uje siku moja kisha utizame uniambie tatizo liko wapi...(ningekuwa na uwezo ningekuwekea picha hapa)
 
Last edited by a moderator:
MENDE anaboa sana hasa huku kwetu USWAHILINI...unamkuta CHOONI wewe unjisaidia yeye anakuhesabia MAGOGO unavyokata. Paloma
 
Last edited by a moderator:
Pole sana.Mimi nimetumia dawa moja inaitwa Akeri Powder.Inatengenezwa pale Lifestock Training Institute(LITI)-Tengerus,Arusha.Kwa hiyo inapatikana kwenye maduka ya dawa ya mifugo kwenye ujazo tofauti.Mimi imenisaidia sana na mende wamepungua.Kwani kila nikifanya "general cleanliness" ya nyumba huwa nainyunyuzia kwenye mapitio ya mapende sakafuni na kwenye kona zote za vyumba ambapo mende hujificha.
 
asante sana Jimjuls nitaitafuta. nina uhakika nitapewa maelekezo husika kutoka kwa muuzaji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom