Mende!! Mende!!

Mende!! Mende!!

Kwani hawa wadudu ni dawa pia .... Halifax kuwa .ua...
 
Nyumani kwetu tulikuwa tukisumbuliwa na mende kwa miaka 10 katika miaka yote hiyo tulikuwa tukifanya fumigation kila baada ya miezi sita tumekuwa waangalifu kwa usafi kwa kila namna ile lakini mende walikuwa sehemu ya wenyeji ,kila kona tupo nao jikoni ilikuwa makao makuu yao,usiku ukiwashaa taa mende unawaona wanazagaa kila kona,ilikuwa kero haina mfano.
Kuna siku tilitembelewa na mgeni kutoka Nairobi akaona mende,akatuuliza na shuida y mende humu kwenu?Tukamwambia ni kero kupita maelezo,yule Bwana akautuambia kuna dawa atatumia inaitwa BORIC ACID POWDER!
Unaichanga na unga na sukari unaweka kwenye maeneo yote yenye mende kwenye makabati ukutani nk
Katika wiki mbili hakuna hata mende mmoja tuliona waliteketea haswa,na cha ajabu huwa wakifa wanatoweka wanakimbia ,Leo mwaka 2 hatujui tena mende ,unaweza google kuhusu borci acid inavyo fanya kazi kuua mende
 
people wako interested na mambo ya ajabuajabu kama haya!
 
We Mgosingwa:Tumia rungu puliza kila siku unapotoka kazini funika Vyombo unavyotumia kwa chakula. Ndani ya wiki moja watakwisha wote. Ila kama kuna Ofisi ya jirani wapo pia nae Mshauri hivyo. Vinginevyo kama unaingia usiku hapo Ofisini kwako, kuna siku utawabugia hao ukifikiri ni Maharage hasa na huu umeme wa Nchi hii. Kazi ipo. Pole sana
 
Hahahahaa, hiii kali kwa kweli. Ila nikiri hadi sasa sijajua ni MENDE yupi anaongelewa hapa. Ngoja nikimbie kabla sijaelewa.

attachment.php

View attachment 85269

Kwa nyongeza tu: Nilishawahi kukaa kwenye Bweni sehemu fulani ila sitaitaja, haki ya nani kulikuwa na Mende wengi kiasi kwamba ukiingia jikoni, wanatimka mbio. Ila uzuri, wote walikuwa na DRIVING LICENSE kwa sababu wakikuona tu, wanatimka mlangoni na mnapopishana, wana KEEP LEFT. Basi unapishana nao bila mikwaruzo yoyote na wanakuacha unapika, na ukimaliza, na wao wanakuja kujiokoteza chochote kilichobaki.
Naam....leo ni siku ya kulipa kodi......
 
Pole sana Paloma, najua ni jinsi gani unakereka na hivyo viumbe. Kuna dawa moja ipo kama chaki zipo za rangi mbalimbali ila nyeupe ndio the best, unachora chini yani watakufa hadi utawaonea huruma. wasipoondoka kwa hiyo dawa basi watakuwa wametumwa hao.
 
Last edited by a moderator:
Mende maana yake ni uchafu!! Na uchafu hasa wa masalia ya chakula!! Kwa hiyo ofisini kwenu mnakula chakula na usafi haufanyiki ipasavyo. Ila hili tatizo la kula maofisini liko sana ofisi za serikali!! Kwa iabu unaingia ofisi inanukia supu, vitumbua, sambusa, chips, yaani toba rabi!! Ni aibu sana. Private companies (majority) have lunch break na hairuhusiwi kabisa kula ofisini!! Mende ni failure ya ofisi administration hasa Office Supervisor/Manager.
 
Hongea Ndeee Ja Town a.k.a Paloma naelekea Muheza kwenye Mdumange
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom