Una uhakika huyo mwanaume unaemtaka akuoe, kila mwanamke anamtaka?Ndoto ya kila wanawake hivi kwa nini?.
View attachment 3274981
Aisee,hii ni hatari sanangoja tuwaite waseme kama ndio ndoto yao et To yeye Binti Sayuni03 SweetyCandy Anastasia21 ndoto yenu ni kumiliki wanaume wenye wako kama huyo kwenye picha?
sema basi kama ni kweli, ili tuanze kufuga maana hamna namnaAisee,hii ni hatari sana
Huyo tatizo kabeba kilakitu mkuusema basi kama ni kweli, ili tuanze kufuga maana hamna namna
Sasa blaza kumbe wewe ni mwanaume af unasema mwanaume mwenye ndevu ni ndoto ya kila mwanamke, blaza hiyo ndoto unaiotea wapi mwenzetu. Usileft blaza, tunahitajika sana sisi dunia hii.Ndo tuwaulize wanawake maana wanatuendesha mara wanataka vigezo vingi kwetu
Umeelewa mada niliyoleta au kingereza umejifunzia Wapi tukupeleke VETASasa blaza kumbe wewe ni mwanaume af unasema mwanaume mwenye ndevu ni ndoto ya kila mwanamke, blaza hiyo ndoto unaiotea wapi mwenzetu. Usileft blaza, tunahitajika sana sisi dunia hii.
funguka mkuu kabeba nini na nini, kiasi kwamba akija hakuna tuta utawekaHuyo tatizo kabeba kilakitu mkuu