Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,304
- 5,655
Ndio Fanya ivyoooh kumbe, bora nifuge ng'ombe tu
Ndio Fanya ivyoooh kumbe, bora nifuge ng'ombe tu
Vipi hizo hela bado unazo!Mimi ndevu sina, sio mrefu wa kutisha, sina kifua kipana, sio handsome, ila kuna wakati nilishika hela na nilikua ofisi flan yenye profile kubwa ki-tz
Aloo... ni mimi ndio nilizikwepa mbususu
Unaenda bank unamkutq teller, mtu humtongozi wala huna mpango nae ila anakwambia kama unataka kutoka out na mimi nipe taarifa siku tatu kabla. Hapo kimebaki nini sasa
Unamwambia nafasi iliyopo ni leo tuu, na anatokea uwanja wa vita.
Endelea kuwaota wenye ndevu blazaUmeelewa mada niliyoleta au kingereza umejifunzia Wapi tukupeleke VETA
Waapiii ndugu yanguu...Vipi hizo hela bado unazo!
Ulitumia hela vizuri mwanawane....ulisasambua mbususuMimi ndevu sina, sio mrefu wa kutisha, sina kifua kipana, sio handsome, ila kuna wakati nilishika hela na nilikua ofisi flan yenye profile kubwa ki-tz
Aloo... ni mimi ndio nilizikwepa mbususu
Unaenda bank unamkutq teller, mtu humtongozi wala huna mpango nae ila anakwambia kama unataka kutoka out na mimi nipe taarifa siku tatu kabla. Hapo kimebaki nini sasa
Unamwambia nafasi iliyopo ni leo tuu, na anatokea uwanja wa vita.
Women! Wao ukiwa na hela wanakulamba ukiwa huna wanakukwepa kama ukomaWaapiii ndugu yanguu...
Tangu nifulie naona mabinti wananiamkia tuu. Zilipokuepo nilipewa salamu zenye ashki tupu
Ee mi rangi nyeupe siipendi mkuuooh kumbe rangi imekuchanganya pia
HujaitwaNimehisi kichefuchefu🤮
Haswaa..Ulitumia hela vizuri mwanawane....ulisasambua mbususu
Hawakuangalii mara mbiliWomen! Wao ukiwa na hela wanakulamba ukiwa huna wanakukwepa
kah! haujavutiwa hata kidogoNimehisi kichefuchefu🤮
aiseee kumbe unatupenda wenye rangi za mtumbaEe mi rangi nyeupe siipendi mkuu
Ĥapana ndevu ni uchafu ukiwa nazo kama hizongoja tuwaite waseme kama ndio ndoto yao et To yeye Binti Sayuni03 SweetyCandy Anastasia21 ndoto yenu ni kumiliki wanaume wenye wako kama huyo kwenye picha?
kwahiyo kawasingizia kusema eti ndio ndoto yenuĤapana ndevu ni uchafu ukiwa nazo kama hizo