Men with beards are every girl's dream husband

Men with beards are every girl's dream husband

Kidogo kidogo naanza kumuelewa PM kuwa hawa Gen. Z wakimaliza chuo waende tu VETA kwa kweli maana post kama hizi zina-add value ipi kwa nchi iliyozorota kiuchumi namna hii?
umeona sasa kwamba watu mambo ya maana hawataki
 
Hata uelewi
si ndio kivutio, kwani hela wewe huna mpaka zikuvute kwake?
ukiwa na ndevu na pesa ndo kivutio mtu unakuaje na ndevu huna pesa yaan Ata izo ndevu hazipew matunzo that's my point of view
 
Back
Top Bottom