Plan za kuzaa siku zote inabidi zianzie kwa mwanaume, then ndio iwe mada ya pamoja na mwenzi wako. Kinyume na hapo, ndio hizi fujo tunazoziona mitaani.Mi nilikuwa naambiwa nataka nizae na wewe ntalea mwenyew.Baada ya kuzaa mambo yamekuwa tofauti.Hamna mwanamke kati ya wote niliozaa nao niliyepanga kuzaa naye.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Wengi huwa tunafikiri kuwa baba wa mtoto ni ile hali ya kutungisha mimba kwa mwanamke then akapatikana mtoto.Kwamba na wewe ukaamua kweli kutoa mbegu zako zawadi? Haikugusa nafsini mwako kwamba unazalisha watoto ambao hutokuwa sehemu ya maisha yao, hutokuwa baba kwao?
Kila kitu ni uhamuzi broh. Demu hata awe mkali vipi, ukishaambiwa list la watu aliopita nao na wenye ngoma, wala huwezi msogelea. Hapo ni kwavile unajali afya yako.Ukifikiri (kwa kichwa kikubwa) hii hoja ina mantiki sana. ila sasa "wakati ule" ukifika hicho kichwa kikubwa hakifanyi kazi, kinaacha kazi zooote zifanywe na kichwa kidogo
Kumbe ana mtu mwingine tofauti na mimi? [emoji23][emoji23]Una mabwana wangapi wewe mrembo?
Eti mchumba, hebu nikane tena mbele ya jamaa hapa nikusikie [emoji23][emoji23][emoji23]Mmoja tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jack wangu..
Huyu muanzisha mada Kuna Uzi tulikuwa tunacheza movie
Unasemaaa.......??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka yako anajua kabisa kuwa napachikwa majina humu na watu..
Ila anajua jinsi ninavyompenda na nilivyo mwaminifu..
I love that man acha kabisa [emoji2960], tena ile bahati inaweza mdondokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana mchumba. Wala mm sio mmoja wao.Natamani ushee kidogo stori yako jamani[emoji23]
Ukweli ni kwamba hapa watajikaza tu kukataa lakini alichoongea mtoa mada ni Cha kweli kabisa na anajua anachokiongea maana naye yupo kwenye hilo kundi[emoji1787](samahani Analyse[emoji4][emoji120])