Men Talk 3: Mwanaume usizae na mchepuko

Take time, chagua mke atayekidhi vigezo vyako. What if ukienda kujaribu nje, ila nako ukatoa watoto wajinga then unagundua ujinga unatoka kwako na sio kwa mama watoto?
ndugu bado huwajui vizuri wanawake bado kidogo muda utaongea
 
Ila it depends na baba mwenyewe anko wangu kaunganisha watoto wote kazaa na wanawake karibu 7 ana watoto km 11 lakini wanapendana hao hatari yaani wanakagrupu chao km chao tu!wako well organized yaani km wamama mmoja ,mama zao wakijaribu kuwatenganisha watoto wanashikana mpk raha.Mhimu baba awapende watoto wote kwa usawa
mhn! hii idadi ya wanawake na watoto mbona kama huyu mtu namjua! lakini haiko poa kihivyo kama unavyofikiria subiri uncle aondoke utaona mziki wake baada tu ya miaka 3 baada ya unle kuondoka uje utwambie
 
Dunia hii ina kila aina ya matukio.

Wakati nasoma huu ujumbe, kuna Dada katoka kuniomba ushauri. Yeye ni mke wa mtu na mume wake amesafiri kikazi huu ni mwezi wa tatu yupo Mkoa mwingine. Dada amechanganyikiwa ametoka kupima amekutwa ana ujauzito. (Ni ujauzito wa mchepuko).

Ushauri niliompa: Nimemwambia aende huko alipo mumewe akamuonjeshe wiki nzima kisha arudi, halafu baadae aje amwambie mumewe kuwa ana ujauzito.

Dada kakubali ushauri wangu, pia ameniambia kuwa hata mtoto wake wa kwanza sio wa mumewe ni wa jamaa mwingine.

Aisee, wanawake Mungu anawaona.
ungemnasa vibao tu huyo malaya
 
Usijikatae sana
Kuna Boss mmoja mkubwa tu alifiwa na watoto wawili wakiume wakubwa..msiba mkubwa sn wote ndani ya mwaka mmoja
Ila alikua kazaa na mke mdogo pia..mtoto mwingine wa kiume...walau atafarijika..imagine ingekua 0/0!
 
Bwana wee muda mwingine mitoto anayototolesha mke ni mijinga bora ukajaribu bahati nje huko.

Alafu hili suala la urithi, pale ambapo kuna watoto zaidi ya mmoja tegemea kabisa hizo mali kupigwa bei maana kila mtu na mtazamo wake na mipango yake maishani.
wakipiga bei si mali yao???

la maana tu wewe saka pesa hasa siku wanatangaza kuuza wewe nunua kwa pesa yako ..

.halafu kata pesa yako kwenye thamani ya nyumba. Wafukuze faster!! Na polisi juu!!
wasije hata kuomba maji.
Weye ndo unamiliki rasmi sasa.
 
Kuna uncle wetu mmoja, alikuwa ana mke karibia kila mkoa utafikiri jogoo wa kuazima...

Sasa alipofariki ishu ikawa ndugu kuanza kusomesha watoto wa marehemu, wanandugu wengine ikawalazimu hadi kuuza mali zao ili watoto wa kaka walau wasome...
yaani niuze mali yangu kwa ajilibya mtu aliyeona raha kukojoa hovyo...


i see!!!!
 
bora wewe unashuhuda

wengine wanatetea kuchepuka na kuzalisha hovyo


mara nyingi tabia hii huumiza watoto...kwa starehe ya muda mfupi kabisa
Hii ni kweli kabisa na mimi imetokea kwangu pia baada ya mzee kufariki watoto wa nje ambao ni wakubwa kunizidi wakataka vitu viuzwe pia ulikua msimamo wa ukoo ili nao wapate haki ya baba yao, na hawa wote wameolewa wanafamilia so mkubwa wetu ambae ni bro akaja na wazo.
aliitisha kikao akasema yale maamuzi ya ukoo sisi kama familia tusiuze vitu tuwaachie madogo wauze pesa ziwasaidie shule sisi wakubwa tusichukue, bwana wee sikuamini wadada waliposema KUSOMA KWAO SISI HAKUTUHUSU kila mtu afe na chake. Wakachukua ingawa bro alitugaia za kwake.
Mwaka wa 10 huu siongei nao na sitarajii tunakutana kwenye misiba tu kijijini halafu Buyu zito ile kauli mbaya sana siisahau yani.
Mpaka leo sitamani kuzaa hovyo asee mnaacha watoto wasiopendana hata.
 
Dunia hii ina kila aina ya matukio.

Wakati nasoma huu ujumbe, kuna Dada katoka kuniomba ushauri. Yeye ni mke wa mtu na mume wake amesafiri kikazi huu ni mwezi wa tatu yupo Mkoa mwingine. Dada amechanganyikiwa ametoka kupima amekutwa ana ujauzito. (Ni ujauzito wa mchepuko).

Ushauri niliompa: Nimemwambia aende huko alipo mumewe akamuonjeshe wiki nzima kisha arudi, halafu baadae aje amwambie mumewe kuwa ana ujauzito.

Dada kakubali ushauri wangu, pia ameniambia kuwa hata mtoto wake wa kwanza sio wa mumewe ni wa jamaa mwingine.

Aisee, wanawake Mungu anawaona.
inawezekana mumewe ana tatizo!!!!
 
Nazungumzia swala la watoto mkuu. Kwan ukichepuka lazima uzae?

Let say mke nyumban anakupa stress kwa namna moja au nyingine, ww ukaamua kutafuta mchepuko wa kukuliwaza, ni lazima na huko uzae? Why usipoge tu, then ukitaka watoto unarudi home kwa mama?
Nke akikupa stress wewe mpige mimba tu ahangaike nayo
 
Nishashuhudia case kama hii, mzee wa kanda ya ziwa alizaa watoto wanne ila wakike tupu. Akaamua kutafuta mke mwingine, akaongeza wawili, nao akapata wakike tupu. Akaamua kutulia tu asijefikisha idadi ambayo itamshinda kulea.

Now ana watoto 6 wakike tupu.
Watoto wa kike ni Asset, Wala sishangai, Nina watoto wa kike tupu na wananipenda balaa, ndio faraja yangu na furaha Yangu. Sina mpango wa kuzaa nje eti nitafute wa kiume. Waweza kwenda kumpata huyo wa kiume na ndio aje kukusumbua, namshukuru Mungu Kwa mabinti hawa na i am very happy as a responsible Dad
 
Back
Top Bottom