Men Talk 3: Mwanaume usizae na mchepuko

Men Talk 3: Mwanaume usizae na mchepuko

Bwana wee muda mwingine mitoto anayototolesha mke ni mijinga bora ukajaribu bahati nje huko.

Alafu hili suala la urithi, pale ambapo kuna watoto zaidi ya mmoja tegemea kabisa hizo mali kupigwa bei maana kila mtu na mtazamo wake na mipango yake maishani.
Ilimkuta mwamba wangu mmoja, alizaa na mchepuko sambamba na mkewe, dogo wa nje akagonga division one paper ya form 4 afu wa ndani kaweka zero..good enough alikua anamhudumia afu wanafanana mbaya. Mwamba akaona wife usilete ufala dogo namchukua na atakaa hapa hapa home! Madogo ya nje yanakuaga mwake sana
 
Take time, chagua mke atayekidhi vigezo vyako. What if ukienda kujaribu nje, ila nako ukatoa watoto wajinga then unagundua ujinga unatoka kwako na sio kwa mama watoto?
Katika vitu sitaki kukubali lakin pia naomba sana Mungu ni hiz habar kwamba hawa watoto wajinga.pluz na invest juhud nying kuwapa maarifa
 
Nishashuhudia case kama hii, mzee wa kanda ya ziwa alizaa watoto wanne ila wakike tupu. Akaamua kutafuta mke mwingine, akaongeza wawili, nao akapata wakike tupu. Akaamua kutulia tu asijefikisha idadi ambayo itamshinda kulea.

Now ana watoto 6 wakike tupu.
hatari sana
 
Ilimkuta mwamba wangu mmoja, alizaa na mchepuko sambamba na mkewe, dogo wa nje akagonga division one paper ya form 4 afu wa ndani kaweka zero..good enough alikua anamhudumia afu wanafanana mbaya. Mwamba akaona wife usilete ufala dogo namchukua na atakaa hapa hapa home! Madogo ya nje yanakuaga mwake sana
Am one them kwenye scenario yako hii
 
Eeh obviously tatizo lipo kwangu..sii sina hela bwana ya kupata mrembo nitakye ndio maana.

Wewe bwana mwanamke hapendi mwanamke anaangalia huduma ipo wapi. So na mie naangalia the best papuchi my pocket can allow me to handle.
What if usipate hela za kuwa na mwanamke umtakaye?
 
Katika vitu sitaki kukubali lakin pia naomba sana Mungu ni hiz habar kwamba hawa watoto wajinga.pluz na invest juhud nying kuwapa maarifa
Malezi ya watoto ndio udetermine ukubwani wawe vipi
 
nikikutana na mwanamke Brilliant hata kama nina mke bwana simuachii!! lazima aze kuna vimwanamke vina akili bwanawee heee! tena kanakusaidia kuliko mkeo halafu vizuriii. vitamuuu!! kwa nini nijipe shida??

Fedha magari majumba ni yangu watajua wenyewe huko by the way!!! kama mimi ni Baba naweza kuka na kuwaambia hizi mali nilitafuta na mke wangu flani ni zake hapa nalishwa tu! nimekaribishwa! msizitegemee kivile!! hapo nitapunguza makali ya wenye kihere here cha mama zao!

Sinta kaa nijibane bane eti ooh! mimi thitakii kufanya mdada weee!! nitafanya vizuri tu kulingana na tathmini zangu huwezi jua huko mbeleni nani atabeba familia yangu!! nani Rais, nani azam, nani drogba,

si mnaona Mfalme Daudi alimpata King Suleiman the Magnificent kutoka kwa mchepuko wake tena mke wa mtu basi! sasa ya nini kubania nyege hizo? mnajua mama yake Yesu alivo patikana nyie?

Kijana wa kiume piga mashine barabara kuna kina nyerere humo!!, Mandera, Sobukwe, Tafawa Balewa wamo humo, hebu fikiria Mzee Burito angekuwa na ka mke kamoja tu!
 
Ukitaka usizae na wanawake nje na ukatoka nje lazima uwe kauzu

Maana anayetegesha kuzaa ni mwanamke na siyo ww mwanaume ukitoka nje na usiwe kauzu mwanamke akakutime atabeba tu mimba yako full stop
 
Nishashuhudia case kama hii, mzee wa kanda ya ziwa alizaa watoto wanne ila wakike tupu. Akaamua kutafuta mke mwingine, akaongeza wawili, nao akapata wakike tupu. Akaamua kutulia tu asijefikisha idadi ambayo itamshinda kulea.

Now ana watoto 6 wakike tupu.
Kuna Dokta mmoja Moshi huko, kwa mke kapata mabinti sita, kwa mchepuko kapata madume sita.
 
nikikutana na mwanamke Brilliant hata kama nina mke bwana simuachii!! lazima aze kuna vimwanamke vina akili bwanawee heee! tena kanakusaidia kuliko mkeo halafu vizuriii. vitamuuu!! kwa nini nijipe shida??

Fedha magari majumba ni yangu watajua wenyewe huko by the way!!! kama mimi ni Baba naweza kuka na kuwaambia hizi mali nilitafuta na mke wangu flani ni zake hapa nalishwa tu! nimekaribishwa! msizitegemee kivile!! hapo nitapunguza makali ya wenye kihere here cha mama zao!

Sinta kaa nijibane bane eti ooh! mimi thitakii kufanya mdada weee!! nitafanya vizuri tu kulingana na tathmini zangu huwezi jua huko mbeleni nani atabeba familia yangu!! nani Rais, nani azam, nani drogba,

si mnaona Mfalme Daudi alimpata King Suleiman the Magnificent kutoka kwa mchepuko wake tena mke wa mtu basi! sasa ya nini kubania nyege hizo? mnajua mama yake Yesu alivo patikana nyie?

Kijana wa kiume piga mashine barabara kuna kina nyerere humo!!, Mandera, Sobukwe, Tafawa Balewa wamo humo, hebu fikiria Mzee Burito angekuwa na ka mke kamoja tu!
Sio kila mtoto atakayezaliwa atakuwa Nyerere. Kuna kina Polepole, wezi na vibaka. Na wote hao wanakuwa hivyo sababu ya malezi. Zaa unaoweza kuwa mudu. Zaa na mke mmoja ili kuwaweka karibu zaidi.
 
Back
Top Bottom