Changamoto gani?Ninacho kiamini nikwamba hakuna mwanaume anaependa kua na watoto wa mama tofauti bila sababu za msingi. Ni changamoto tu ndizo hupelekea mwisho wa siku hilo kutokea.
Nazungumzia swala la watoto mkuu. Kwan ukichepuka lazima uzae?Hamna mwanamke atakayekidhi vigezo bwana wewe...ingekuwa hivyo watu tusingechepuka.
Mie baba kwakuendekeza kuchepuka tayari nina ujinga sasa ukikutana na mwanamme mjinga sii majanga
kuna mzee mke wake alikuwa anazaa watoto wa kike tu akaenda nje kutafuta wa kiumeNimeshangaa pia
Reasons zote ninazosoma hapo na ninazoendelea kuziona hazinishawishi kabisa, watoto wanateseka na singo mazaziKupingwa sio tatizo mkuu, swala ni mtu apinge with supporting reasons
Kuna uncle wetu mmoja, alikuwa ana mke karibia kila mkoa utafikiri jogoo wa kuazima...
Sasa alipofariki ishu ikawa ndugu kuanza kusomesha watoto wa marehemu, wanandugu wengine ikawalazimu hadi kuuza mali zao ili watoto wa kaka walau wasome..
Watoto wa mama tofauti, ni changamoto kuwa na ukaribu ambao ww baba utataka wawe nao.Wewe ndio baba yao na watoto ni ndugu zako hawana ndugu mwingine zaidi yako, na wewe ndio kichwa Chao hivyo ni jukumu lako kuwakusanya na kuwaunganisha na wafahamiane mapema Sana na uwajengee misimgi ya umoja tangu wakiwa wadogo.
Hawa wanawake sio wa kuwagikiria Sana ndio maana hata kesho akisepa anabadilisha tu kutoka Mrs x to Mrs y na hakuna wa kumpangia.
So pamoja na mifano yako mwanaume kuwa na msimamo pamoja na madhaifu yako. Hata Kama umezalisha inje simamia msimamo wako juu ya matunda ya uzinzi wako.
Watoto ndio ndugu zako na ni damu yako , kabila lako , dini yako Kila kitu chako hivyo ni jukumu lako kuwalinda na kutungua miladi ya kuwaunganisha.
Usiache tamaana na roho mbaya ya huyo mwanamke kwa jina la mke/mchumba/mzazi mwenza vitese damu yako .....maana mwisho wa siku machozi ya hao watoto yatakulilia wewe na sio huyo mwanamke wako.
Men wakeup....... it's time for Sex and money not love and sex Hawa wanawake wame change sio wale tulio kalilishwa na Bibi na mama zetu....Hawa ni wengine kabisa....
Nishashuhudia case kama hii, mzee wa kanda ya ziwa alizaa watoto wanne ila wakike tupu. Akaamua kutafuta mke mwingine, akaongeza wawili, nao akapata wakike tupu. Akaamua kutulia tu asijefikisha idadi ambayo itamshinda kulea.kuna mzee mke wake alikuwa anazaa watoto wa kike tu akaenda nje kutafuta wa kiume