Madhara ya kuchepuka na malaya ndio haya.

Madhara ya kuchepuka na malaya ndio haya.

SanArt

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
939
Reaction score
1,563
Unajua mwanaume akichepuka sio case sana, labda kama akizaa na mwanamke wa nje, na mara nyingi yeye hata kuwa in the position to keep the child mpaka mtoto afikie kuanza kusoma na vitu kama hivyoo

Ila mwanamke akichepuka, anaangamiza jamii kiujumla, yaani anakuwa in the position to hurt the entire generation..

How, ni hivi, mtoto anapokosa motherly love huwa ana undergo a deep trauma, ambayo actually ni unworthiness.. Ya kwamba ataanza kuona kama hakupata nurturing energy.

Mfano, mzuri ni hawa wadangaji, ni wanawake ambao mara nyingi wamelelwa katika mazingira mabaya, ni either hawakuwa na mama, au mama alikuwepo ila hakuwajali katika makuzi

Nimeona clip ya Giggy money na inadhihirisha she is deeply wounded, na ubaya wa trauma ni kuwa hata uiepuke kwa namna ipi, lazima tutafikia breaking point tu.

Yaani kuna siku utalazimika kujitazama kwa kioo na kuona athari ya kile kitu ulicho kukimbia kwa addiction, malaya na kula shisha. Issue sio kuwa wewe ni mnyonge, bali tayari mwili umwhimili na umechoka kubeba pain. Sasa kwa malezi yetu ya kibongo, mtu hata kusema akafanye therapy hawezi, hata kuweka wazi na kutafuta supportive group nako anaona atajidharirisha.. Sasa matokeo yake ndo haya..

Sasa ni kama wanawake huwa wanajizima data, wana rudia loop zile zile. Wanadhani kuwa pleasure ya sex na addiction ya kutamani maisha hali ndio kuziba maumivu, so wanatumiwa tu.

Kuna wengine watakuja kusema Natafuta attention kuongelea hili, ila ni wakati sahihi, wa wenye machonkujionea wenyewe.

Ni hayo tu.. Nimeona nishee nanyi huenda kuna mtu atajifunza kitu.. Am not a psychologist ila napenda tu kuongelea hizi deep embedded wounds.
 
Achaneni na drama hizi wabongo.
sasa nakupa home work.

Unawajua malaya wa Tanzania wewe??? kuna mtoto wa mkuu wa mojawapo wa majeshi 🇹🇿 malaya grade ya kwanza kwa sasa ni mshangazi na ana danguro lake.

Hao wanatafuta trending tu kuna watu wapo serious na kazi na wanafahamika.
 
Kuna kitu wabongo huwa tunacho,

Huwa tunapenda kureduce jambo liwe la kawaida, ili hali tunajua jamii zetu zilivyo.

Hao hata kama wanafanya kwa ajili ya kupunguza focus za wabongo, haiondoi ukweli ulio kithiri miongoni mwa jamii ya kitanzania.

Hata huyo Giggy money sio mara yake ya kwanza kuongelea how malezi ya mama yake na kutaka kutelekezwa kimesababisha kuwa malaya, na hujutia maisha yake yote.

Kinachotuponza wabongo ni kukosa awareness ya kujua mnyororo wa mateso na maisha magumu ya toka nayo na kukosa malezi bora. Tunaishia kufanyiana mfano huku tuki rudia yale yale.
 
Ninachojua ukiamua kuwa malaya unakuwa haijalishi background yako.

Mi huyo gigy hata katika pitapita zangu kwa watoto walio kubuhu sijawahi kumuona.
Huyu muite malaya maarufu ŵa bongo movie anayehitaji umaarufu kwa namna yoyote
 
Ninachojua ukiamua kuwa malaya unakuwa haijalishi background yako.
Katika saikolojia, tunakuwa shaped na mazingira in ways, ambapo tunaweza tusi notice chochote, ila ni nadra sana kukuta mwanamke kufanyiwa ukatili wa kijinsia endapo amekulia katika mazingira mazuri.. Mara nyingi hata mavyuoni wanao danga kupitiliza ni wale wenye tamaa na kutaka maisha walionyimwa nyumbani kwao
Mi huyo gigy hata katika pitapita zangu kwa watoto walio kubuhu sijawahi kumuona.
Huyu muite malaya maarufu ŵa bongo movie anayehitaji umaarufu kwa namna yoyote
Sawa
 
Back
Top Bottom