Member mwenzetu hatunae


Home boy apumzike kwa amani
Nahisi atakuwa ni mtoto wa mwalimu wangu Mwl. Lyaro.
 
Huyu aliombaga namba kuna bidhaa niliwekaga sasa ndipo akajakundua kama ni mimi wote tunafahamiana na ile bidhaa nilitangaza ja

Alinipigia akisema namba katoa FJ ndipo tulipojuana kwa sababu alizaa na ndugu yangu

Ni wa kijijini kwetu Rauya Marangu najua hadi kwao, Baba na Mama yake ni waalimu wastaafu wa shule ya msingi. Baba yake alinifundisha.

Ila ID yake huku siifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…