Member mwenzetu hatunae

Ngoja nimjaribu alishawahi kunipa namba zake Voda na halotel
 
huyu ni miongoni mwa maofisa wa Misitu waliouawa Tabora huko walivamiwa na wafugaji
 
huyu ni miongoni mwa maofisa wa Misitu waliouawa Tabora huko walivamiwa na wafugaji
Maofisa wa misitu na TANAPA waonevu sana. Hata wakikukuta na kopo dogo la mkaa kama huna kibali umekwisha. Ni moja kwa moja ndani au uhonge. TANAPA wenyewe hata ukiwa kando ya hifadhi tu wanakulima risasi laivu. Nchi hii kwa sasa kila mtu ni mbabe sehemu yake. Maisha ya mtu wa kawaida hayana thamani tena; na inafika mahali watu wanachoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…