wanachama wa CCM sio watanzania?CHADEMA wanafurahii..lakini ingekua ndani ya CHADEMA viongozi wa CHADEMA wasingevumilia ili..wangekua wameshatoka barazani..
ila uongozi wa CCM imeliona ili la kawaida ,ndio mana imelipotezea..wanaojadili na kumkosoa Membe ni WATANZANIA sio wanachama wa CCM
Tatizo lenu wana ccm hamtaki kuambiwa ukwel, hapo sasa shida iko wap membe kuongea anachokiona?UKIONA MTU MZIMA ANALIA JUA ....MAJI YA SHINGO...magufuli kagusa maslahi ya watu kabma mirija yote ya asali, watu wanapumulia mashine walishazoea vya kunyonga hao sasa WANAISOMA NAMBA. magufuli songa soongaaaa babaaa tupo nyuma yako tunakulinda wewe ndie chaguo la mungu, endelea kuwakamua kama mua.
Kikwete ng
Kikwete ndio rais bora kuliko wote waliopita hivi sasa kiongozi wa umma huna uhakika kesho kama utarudi kazini ni presha tu
Ukweli upi?Membe simamia ukweli
Haya huyo ndio Bashe hajui kuwa kila Mwananchi anayo haki ya kutoa maoni yake alimradi asivunje sheria. Aaah kumbe hata yeye Bashe katoa maoni yake na wengine pia wataendelea kutoa maoni yao. Kumbuka bwana mdogo Bashe kuwa hata Magufuli mwenyewe aliomba kuwa mumsaidie mumweleze pale mtaona anakwenda ndivyo sivyo mumkosoe na ndicho alichofanya Membe na wengine. Labda tu kwa sababu yeye hakwenda kumweleza kisirisiri pale Magogoni kama walivyofanya wastaafu wengineAliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.
Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.
Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.
Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.
Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.
Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.
Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.
Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.
Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Haaaaa watu hawataki rais anayesimamia sheriaKikwete ng
Kikwete ndio rais bora kuliko wote waliopita hivi sasa kiongozi wa umma huna uhakika kesho kama utarudi kazini ni presha tu
Alafu kama ni kushauri kwanini asitumie nafasi yake kwenye chama akatoa maoni yake huko na kukisaidia chama badala ya kuanzisha majibizano nje ya vikao ..ajaribu kutumia vikao vya ndaniKwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.