Msengemfukuza kwa nguvu m geona Kama asingemtoa JPM. Sema mlimtoa ili jpm asiaibike Mana jpm hata ccm wenyewe hawalipendiKapata akili sasa ee?
Membe alikuwa anashabikiwa na kundi dogo sana tena mitandaoni tu...
Kwa takwimu zipi?Msengemfukuza kwa nguvu m geona Kama asingemtoa jpm. Sema mlimtoa ili jpm asiaibike Mana jpm hata ccm wenyewe hawalipendi
Kama Lissu tuHana mvuto tena
Jasusi Mbobezi gani anashindwa hata kujua kuwa anafuatiliwa 24/7 ndani na nje ya nchi hadi Mipango yake Kujulikana mapema na akadhibitiwa?Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea...
Kijita membe ni fisiKikwetu membe ni 'nzi'
Kwa Nini mlimfukuza Kama siyo kuogopa nguvu yake. Mbona mlitumia ubabe na nguvu nyingi kumfukuza?Kwa takwimu zipi?
Au bado unaendeleza porojo zilezile kwamba anakubalika wakati hamna kitu?
Kama alikuwa anakubalika hivyo kwanini alipoenda kugombea ACT hatukuziona hizo nguvu zake?
Wale wenzake 6 wapo wapi?Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea...
Huyu ni kachero aliyefeli mission ya kuibomoa Chadema, karudi kwa mwajiri wake kichwa chini baada ya Kamanda Mbowe kumpa za uso
Labda kwa mke wako atakuwa naoWewe unao?
Swali! Mbona mlimfukuza?Kwa takwimu zipi?
Au bado unaendeleza porojo zilezile kwamba anakubalika wakati hamna kitu?
Kama alikuwa anakubalika hivyo kwanini alipoenda kugombea ACT hatukuziona hizo nguvu zake?
Kijita membe ni fisi
Nguvu yake ipi dogo?Kwa Nini mlimfukuza Kama siyo kuogopa nguvu yake. Mbona mlitumia ubabe na nguvu nyingi kumfukuza?
Ulifuatilia mchakato wa kufukuzwa kwake?Swali! Mbona mlimfukuza?
Kwa Nini mlimfukuza sasa?Nguvu yake ipi dogo?
Hata Zitto aliamini Membe ana nguvu lakini dakika za mwisho akashtuka kwamba kumbe zilikuwa kelele za wajinga wa chache wa mitandaoni.
Seif alimwambia Membe hizo nguvu zake mbona anazidiwa na mzee wa ubwabwa?
Ama kweli mcha kukicha akikosa wembe kucha huwa mtindo.Pole mzee huku upande mwingine lazima uwe na nyama ka ya mzee Kingunge.hata hivyo wamekuheshimu Sana siku ile walimshika yule wewe ukabaki .ok Rudi nyumbani mzee.Dingi apumzike tu aache maneno mengi
Hakuna mchakato wowote! Wala Wala katiba ya ccm haisemi mtubatafukuzwa kwa kutangaza kugombea uraisUlifuatilia mchakato wa kufukuzwa kwake?