Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

Nani alikwambia TAL si mzuri? TAL ni zaidi ya viongozi majani 10,000. Maana kama aliyepora ni mzuri kwa ufalme basi kila mtu Tz anaweza kuwa mfalme
 
Nani alikwambia TAL si mzuri? TAL ni zaidi ya viongozi majani 10,000. Maana kama aliyepora ni mzuri kwa ufalme basi kila mtu Tz anaweza kuwa mfalme
Kuna siku Lissu alikuwa anahojiwa baada ya kuondoka, ameshawaelewa nyie wafuasi wake wa huku mitandaoni.
Walimuuliza kwa nini watu hawakuitikia maandamano aliyotangaza?
 
Aliwahi kusema ameoteshwa.

Ole wao maadui wake aliingia ikulu.

Sasa amejitambua hakuwahi kuwa na sifa ya urais

Binafsi huwa napata wakati mgumu kumuelewa MEMBE, hana kanuni kama mawimbi yanayo tokana na Tsunami - leo hii atakwambia yeye ana sifa zilizo pitiliza kuwania kiti cha Urais, kesho anakwambia msiniulize maswali mengi nakwenda kwenye Hoteli ya kifahari na mama watoto kula chakula kizuri, kesho kutwa anasema mtu anayetaka kuwaniani Urais anakuwa driven na tamaa ya fisi - sasa tuchukulie lipi tuache lipi - simusemi vibaya lakini wakati mwingine mtu unabaki unajiuliza maswali mengi hivi
huyu mwenzetu aliwezaje kuongoza Wizara ya mambo ya nje kwa term mbili!! Je,kama agefanikiwa kushinda kiti cha Urais Tanzania ingekuwa katika hali gani?
 
Vipi hapo "KACHERO MBOBEZI" hakuwa anasoma maelezo kwnye karatasi aloandika kwa "WINO MWEKUNDU"
 
Huyu ni kachero aliyefeli mission ya kuibomoa Chadema, karudi kwa mwajiri wake kichwa chini baada ya Kamanda Mbowe kumpa za uso
hapa ndipo kwenye tatizo la chadema wa mitandaoni......si ajabu mambo km haya ndo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukiua chama!
 
Hivi Lindi hamna mashamba kwani? Mbona kuna washamba lakini? Tujifunze kustaafu kiheshma bhana
 
Back
Top Bottom