Membe: Nitakuwa Rais ambaye hajawahi kutokea duniani

Membe: Nitakuwa Rais ambaye hajawahi kutokea duniani

Haaaah haaah hawa watia nia inabidi wafungwe spidi gavana ili wapunguze kuropoka.Leo imekuwa zamu ya Membe akiwa Kigoma.ITV imemuonesha Membe akipiga tantalila kuwa eti kama chama kitampitisga atakuwa rais wa ukweli ambaye hajawahi kutokea duniani.Haya Makubwa
Hahahaahaa.....................................

Hawa watia nia wa CCM kwa comments zao wanazotoa mikoani wanapotafuta udhamini, wamegeuka kuwa Full Comedians!
 
Ni kweli kabisa, record ya ubovu itakayowekwa na Membe haitokaa ivunjwe kabisa.
 
Hivi ukawa watangaza nia hakuna???? ACT-wazalendo?????
 
Nadhani ni afueni kikwete kuliko membe, membe is too much vapour, mmmh ccm mwaka huu wana kazi ya kufanya.
 
Aisee kweli siasa ni kitu cha achabu.rais ambaye hajawahi kutokea dunian yukoje?

Anaeruhusu watu kutoa rushwa lakini, watoe taarifa ili waliochukua hiyo rushwa washughulikiwe, ambaye akiwa rais marehemu baba wa taifa atafurahi saana huko aliko.
 
Membe sio presidential material..
na isitoshe amewekwa agombee kwa shinikizo la mkuu wa kaya ili kumdhibiti Lowasa.Ndo maana hayuko serious...
 
Back
Top Bottom