Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,432
- 139,497
Haaaah haaah hawa watia nia inabidi wafungwe spidi gavana ili wapunguze kuropoka.Leo imekuwa zamu ya Membe akiwa Kigoma.
ITV imemuonesha Membe akipiga tantalila kuwa eti kama chama kitampitisga atakuwa rais wa ukweli ambaye hajawahi kutokea duniani.Haya Makubwa.