Membe ni JK part 2

CDM wameshindwa kulinda kura za jimbo moja la Igunga wataweza nchi nzima? Labda CCM wasambaratike vinginevyo tutaendelea kuongozwa na serikali ya CCM hadi CCM watakapofarakana

nani kasema ccm itatawala milele?lets wait and see!i hate magamba
 
Kwa wale wanoandika andika hapa kuhusu mheshimiwa waziri wa mambo ya nje bernard membe kua anafaa kua urais nafikiri wanatoka familia ya Jk kwani membe hana tofauti na JK kiuongozi. hii ina maana mambo yatakua yale yale kwa watz wengine wasiotoka ukoo huo unaongoza kwa sasa..tafakari hatutaki tena episode za KiJK JK hizi zirudi

Mkuu jitahidi kujipanga kabla hujaja na hoja hapa JF,ni kweli una mawazo mazuri,tatizo ni namna unavyoyawakilisha,too local,no consistent etc..Jitahidi kudraft your ideas kwanza pembeni and then ndio uleta hapa jukwaani...otherwise good idea!!
 
only83 ahsante nitajihidi, lakini read my other topics. hapa JF ni ukweli, mpangilio na style ya uandishi unatokana na dhamira yako. kama ni short message ya watu kuanza kuchangia au la.. ila nilikua na mengi na nitaileta tena hii kitu na kuonyesha zaidi ahsante
 
AsaVali ya Membe kuliko mamvi na ile pair ya wasanii na wanafiki wa Nyanda za juu kusini.
 
Mtoa thread hii unagubikwa na upofu wa kubashiri vitu bila sababu. Kwanza sijui unaposema Membe na JK wanafanana unamaanisha nini na ubaya wa kufanana ni nini? Kama unachomaanisha ni kwamba kama JK Membe siyo mwizi wala mtu wa visasi basi hicho ndicho tunachohitaji maana hiyo ndiyo tafsiri ya utawala bora. Hao mnaowataka nyie ambao hawajawahi kutestiwa kwa chochote au wale wahujumu uchumi hawana nafasi nchi hii. This is not to say, however, that Membe is a candidate for 2015.
 
Ninyi watu mmetawaliwa na personal vendetta kuliko facts na hoja. Sasa kutuambia eti Membe ni JK pt 2 unataka sisi tufanye nini? Hebu tuambie ubaya wa Membe au ufisadi au uhujumu wa uchumi alionao nasi tuujue? Wakati mwingine mtu kujisifu kwamba ng'ombe wako siyo walafi huku hujawahi kuwapitishia karibu na shamba ni upuuzi mtupu!! Leo wengi wetu tunaamini eti Mbowe au Slaa ni waadilifu,, je wameshawahi kushika uongozi gani serikalini ili iwe kipimo cha huo uadilifu? Believe me, hawa ni watanzania tu kama wengine, hawajashuka toka mbinguni,, kati yao wapo wapigaji na mafisadi tena wengi tu,, wanangoja nafasi tu. Angalau Membe tumemuona ktk kipindi alichotumika si fisadi na ni mzalendo,, japo haimaanishi kusema kwamba ndiyo anagombea urais 2015.
 
we salimia membe kafanya nini cha maana? hata midahalo ya maana ya kitaifa kama Dowans amekua mute kwenye vikao vyote vya chama na kwenye cabinet.Mzalendo gani huyu? jamaa ni mute sana, na hajawa tested foreign affairs ya Tz kuna challenges gani pale? kama maadili wako wengi na uzalendo wameuonyesha bayana kwa public kuliko huyu anayejifanya ni mtu wa karibu wa Rais, na Tanzania hatutaki kiongozi yeyote anayekuja awe na uhusiano wa karibu na Rais aliyefeli. After all huko foreign affairs ndiyo majitu yanaenda kuzorota na kua detached na uzalendo wa kweli
 
Back
Top Bottom