Membe: Magufuli asiwaendee pupa wafanyabiashara

Membe: Magufuli asiwaendee pupa wafanyabiashara

Kama wafanyabiashara wenyewe anaowatetea ni hawa wakwepa kodi na waizi, ni bora huyu membe akae kimya, au aseme kama interest zake zimeguswa kama mfanyabiashara
Umeona eh. Aibu yako membe
 
Leo mtu akisema rais asiwaendee pupa wafanyabiashara kesho atasema asiwaendee pupa madaktari keshokutwa atasema rais asiwaendee pupa mainginia. Watanzania tunapenda sana kujivalisha umuhimu ambao wakati mwingine hatuna. Tunapenda sana kutishana. Rais anayo mamlaka makubwa sana, hao wafanyabiashara ni tabaka linaloibuka na kupotea kutokana na uchumi mzima wa dunia, kwanini wawe juu ya kiongozi mkuu wa nchi. Awamu ya nne iliwaogopa wafanyabiashara wakajiona wao ni tabaka lisiloguswa, hilo lilikuwa kosa kubwa. Hata mataifa makubwa yanawaheshimu wafanyabiashara ila yanahakikisha wanakuwa na uzalendo kwa kila wanachokifanya. Bill Gates na fedha zake zote akiwa nje ya Marekani anatanguliza upendo kwa mmarekani yoyote atakayekutana naye, utajiri wake sio tiketi ya kunyanyasia binadamu mwingine. Wafanya biashara waheshimiwe, wawekewe mazingira sahihi ya kufanya biashara lakini wakumbushwe kila mara kwamba they are human beings, na kutii sheria na kutoa ushirikiano kwa jamii inayowazunguka ni wajibu wao, sio ombi bali ni amri ya maisha.
Tatizo la wafanyabiashara wa tanzania walizoe mteremko. Sasa wanaona kama wanaonewa. My be kwasababu wengi sio wazawa kwahiyo hawana huruma na nchi. Lakini tulipofikia tunahitaji mtu wa kuchukua maamuzi magumu na sio mtu anayeogopa watu. Binafsi namuombea JPM awena afyatele ili angalau tanzania iwe na uwezo wa kujitegea
 
Huu ndio utamaduni wetu wa siasa za kijima. Hata Mhe JPM asingethubutu kumshauri JK wakati alipokuwa waziri wake (miaka 10) kwenye yale aliyokuwa akiona hayendi sawa. Ushahidi ni misimamo ambayo anaoinesha katika siku zake za mwanzo wa utawala wake. Ndiyo maana wapenda mabadiliko ya kweli, tunalilia Katiba ya Wananchi ambayo itapungunza umungu mtu wa Rais wa JMT. Hawa wanakuwa miungu watu kiasi cha washauri wao, hususan washauri wakuu ambao ni mawaziri, kuogopa kuwaambia ukweli. Wakiwa uchi wanashangiliwa kuwa wamevaa! Si jambo la siha kwa maendeleo ya nchi.
Kuhusu kauli ya Maembe, inahitaji m-CCM mmoja ambaye hana la kupoteza kumwambia Mhe Pombe kuwa ANAKURUPUKA SANA. Hiki ndicho Mhe Maembe anajaribu kufanya. Ukiachilia mbali suala la kodi ambalo utaratibu wake ni wa kijima, Mhe Pombe alikurupuka sana kuwabomolea wananchi makaazi yao. Halina ubishi kwamba kuishi mabondeni ni hatari na kiunyume cha sheria Lakini pia halina ubishi kuwa serikali ya CCM ilihusika kuwawezesha wananchi kuvunja sheria. Sasa katika suala kama ili kila upande unahitaji kuwajibika kwa namna fulani. Serikali ya Mhe Pombe inajiweka kando (inashindwa kuwajibika) na kujiona kuwa kazi yake ni moja tu ya kubomoabomoa! Hii ni mojawapo ya aina ya ukurupukaji. Na washauri wake katika eneo hilo akina Makamba na Lukuvi wanaogopa kumshauri ili wasionekane ni wapinzani na wasifukuzwe uwaziri!!
We kweli MPIGA ZEZE. kwahiyo unataka wafanyabiashara wapewe uhuru wa ku control nchi. Ikiwa hivo mimi ntaenda ata kutafuta urai nchi nyingine sio nchi inayoendeahwa na wafanya biashara
 
Ukitaka kumshauri kitu ndugu yako hupandi juu ya mti jioni kutangazia umma, au kwenda nyumba ya jirani kulalamika. Una kaa na kuzungumza naye. Huyu Membe ana ajenda ya ku-undermine juhudi za Serikali ya JPM. Period.
 
Ukitaka kumshauri kitu ndugu yako hupandi juu ya mti jioni kutangazia umma, au kwenda nyumba ya jirani kulalamika. Una kaa na kuzungumza naye. Huyu Membe ana ajenda ya ku-undermine juhudi za Serikali ya JPM. Period.
For sure. Lazima kuna interest kwenye madai yake
 
Aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje Mh. Membe ameonya kuwa wafanyabiashara wasiendewe kwa pupa.

Ametanguliza kuwa anaunga mkono mikakati ya ukusanyaji kodi lakini isiwe katika hali ya kukatisha tamaa na kudidimiza uchumi.

Membe ameonya hayo kufuatia malalamiko ya wafanyabiashara kulalamika kuwa baadhi ya mikakati inaelekea kuwadidimiza.

Haya yameandikwa katika magazeti ya leo
Membe bhana!!! Kukosa cheo imekuwa kero!?? Atulize domo Dr. Afanye kazi yake... Asifikili Dr JPM ni JK
 
Huyu Naye ! He had his time with his brother now what! Let Magufuli be Magufuli pliz
 
Ni upuuzi kuanza kulalamika bila kuweka hoja ya msingi mezani.Kama yupo mfanyibiaashara aliyetozwa kodi isivyo halali azungumze wazi.Je, ametozwa kodi kubwa isiyolingana na faida yake?APELEKE HOJA YAKE TRA.Ila kila anayestahili kulipa kodi ni lazima alipe.Tatizo ni kwamba walishazoea kukwepa kulipa kodi,ndio maana sasa wanaona mambo magumu.
Aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje Mh. Membe ameonya kuwa wafanyabiashara wasiendewe kwa pupa.

Ametanguliza kuwa anaunga mkono mikakati ya ukusanyaji kodi lakini isiwe katika hali ya kukatisha tamaa na kudidimiza uchumi.

Membe ameonya hayo kufuatia malalamiko ya wafanyabiashara kulalamika kuwa baadhi ya mikakati inaelekea kuwadidimiza.

Haya yameandikwa katika magazeti ya leo
 
hivi mbona huyu hajibiwi na ikulu?, wapinzan wakikosoa serikali fasta ikulu wanajibu
 
This guy would have been a disastrous President bigger than hurricane Katrina
If only he stood a chance...
 
NAJUA NA NAONA WENGI WAMEANZA KUANDIKA VIBAYA KUHUSU HUYU BWANA NA MANENO YAKE YA KILA SIKU AMBAYO KIUKWELI KWANGU NAONA ANA NIA YA KUTENGANISHA WANACHAMA HUKUU WENGINE WAKIMKUBALI RAISI NA WENGINE WAKIWA AGAINST NAE

NAOMBA NIWAOMBE KAMA WANADAMU TUMPUUZE NA WALIOANGALIA MCHAKATO WA URAIS TANGU MWANZO NAHISI KAMA NI UCHUNGU WA KUKOSA NA KUANZA KUSEMA OVYO ANGEANZA SEMA HAYA LOWASSA..LAKINI AMEKUWA MSTAARABU NA SHANGAA HAWA WALIOFIKA TANO WANALALAMIKA NINI

2)) MKITAKA KUJUA KUNA SHIDA AMA KUNA KITU NDANIYAKE MH HUYU HUYU ALIWAHI KUSEMA ANAMPONGEZA MH RAIS KWA KUSITISHA SAFARI NA KUBANA MATUMIZI

NANUKUU MWANANCHI...NIHUYU HUYU ANARUDI KUMLALAMIKIA RAISI NA USITISHWAJI SAFARI NA UBANAJI MATUMIZI

HUYUHUYU ALISEMA WALIKUWAA WANAPISHANA ANGANI WAKITUA OFISI ZIKO TUPU LEO HII ANAGEUKA AMWONI KUNE KITU FULANI LABDA KILIKUWA EXP....??

NDUGU ZANGUNI LAZIMA MJUE BAADHI YA VIONGOZI WALIACHA NDUGU NA MARAFIKIZAO WIZARANI NA KAMA WAMEBANWA MSITARAJIE WATALALAMIKA HEWANI WATAONDOLEWA..SO NACHOOMBA

TUSIMDHIHAKI MEMBE TUMWOMBEE ABADILIKE IKIFIKA MUDA ATAMWELEWA DK MAGUFULI NI NANI NA ANA DHAMIRA GANI YA MAENDELEO KWENYE HII NCHI
 
Hawa wanamtandao wa mwaka 2005 wangepumzika tu kwa sasa. Waliivuruga CCM wakaupata urais kupitia Jakaya. Walipopata serikali wakaanza kuvurugana kwa sababu ya VYEO na MADARAKA kwa kuwa wengi wao ni WAWEKEZAJI kwenye SIASA. Wapumzike wamwache Magufuli afanyekazi.
Halafu, sidhani kama Membe anashindwa kwenda Ikulu akaonana na Rais, akampa huo ushauri anaouuza kwenye magazeti.
 
Membe amechoshwa na maigizo, mwacheni atoe dukuduku lake.
 
Membe maigizo kayachoka now anafunguka pia tambua pia kuna uhuru wa mtu kuzungumza kile akiwazacho
 
Back
Top Bottom