Suluhisho ni kubadilisha sheria za kodi kila mtu alipe kodi inayostahili na inayolipika, sheria ya kuruhusu afisa wa kodi akadirie anayoona inafaa ndio inawalazimisha wafanyabiashara watoe rushwa kwa hawa maafisa wanakupiga kodi ya juu makusudi, ijulikane kama in kontena la matairi na limenunuliwa kwa sh.100 kodo ni asilimia ngapi na kama ni gari imenunuliwa kwa sh50 kodi ni asilimia ngapi kwa sasa unaagiza gari wanakupigia hesabu ya kodi,ukileta bandarini kodi inapanda hii si sawa, Apeleke mswaada wa sheria ya kodi bungeni ibadilishwe, hii iliwekwa ili watu wapige pesa na kuwapendelea watu wachache, na wafanya biashara waache kujipendekeza kwa cccmmm, wasimamie na sheria zitakazowezesha kufanya biashara kwa uhuru sio kutegemea kubebwa na wanasiasa.Aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje Mh.Membe ameonya kuwa wafanyabiashara wasiendewe kwa pupa.Ametanguliza kuwa anaunga mkono mikakati ya ukusanyaji kodi lakini isiwe katika hali ya kukatisha tamaa na kudidimiza uchumi.Membe ameonya hayo kufuatia malalamiko ya wafanyabiashara kulalamika kuwa baadhi ya mikakati inaelekea kuwadidimiza.Haya yameandikwa katika magazeti ya leo