Membe: Magufuli asiwaendee pupa wafanyabiashara

Membe: Magufuli asiwaendee pupa wafanyabiashara

Kuna wanaosifu kila anachofanya mkuu ni sawa kwa sababu anapata moyo. kuna wanaokosoa baadhi ya mambo pia wako sahihi ili kujisahihisha. Kusifu kila kitu au kukosoa kila kitu ni lazima kuwe na tatizo la akili. vinginevyo ni unafiki uliopitiliza
 
Hapa ndipo pro Magufulu watakapomkumbuka EL,waache kumbeza. Bila team ma-mvi kupambana huko Dodoma,Membe angekuwa magogoni.
Acha ulofa ,team Lowasa walimchagua Amina Salum apite ili lowasa aje kuwa mgombea mwenza.
 
Mimi nafikiri tusimuattack mtu tuattack point zake, Membe ni mwanadiplomasia ametembea katika maeneo mengi yenye migogoro, anajua athari zake na anajua athari gani zitatokea Zanzibar.Ameweka angalizo ili baadae kikitokea chenye kutokea Mwenyezi mungu aepushie mbali aseme kwamba nilishatoa tahadhari hiyo. Hii inatupa picha kwamba asilimia kubwa ya makada ndani ya ccm hawakubaliani na maamuzi ya kurudia uchaguzi kwa kuwa wanajua nini kitatokea na kivipi chama kitaathirika.
Nchi haiongozwi kutoka kichwani, inaongozwa kwa mjibu Wa sheria na katiba.

Kwa hiyo swala la kulipa kodi siyo la hiari na wala halijaletwa na Magufuli lipo kisheria. Sasa Membe atuambie angekuwa rais yeye angeongoza kutoka kichwani mwake au kwa kufuata sheria za nchi??

Na ndio maana Watz wengi tulikuwa hatutaki rais Wa kuchukua fomu huku ameandama na Kundi la watu ,madhara yake ndio haya, hapa Membe ni lzm anatetea rafiki zake wameguswa..


Asante Mungu kwa kutuebushia mbali watu Wa aina hii kuwa viongozi wetu
 
Kwa sasa washauri wa nje ni muhimu,wale waliopewa vyeo hawana jeuri ya kumkosoa Magufuli.nilimsikia mbunge Msukuma akisema watafata yote atakayoagiza Magufuli
mkuu umeandika bonge la point. ila nina wasiwasi kama hawa uv-ccm wataelewa kitu hapo.
 
Back
Top Bottom