Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

Membe anajinadi urais watu wamekaa kimya.. Zitto hajasema chochote kuhusu urais anaandamwa ka sio uonevu huo ni nini?
 
MEMBE awe rais wa nchi ipi?labda Rais wa lindi kama itajitenga.kwanza sidhani hata kama alistahili kuwa waziri wa mabo ya nje maana upeo wake nauona kama mdogo sana! bora kumpa urais WASSIRA (japo wanaCDM hamumpendi) kuliko MEMBE jamani!
 
Membe amechanganyikiwa,
Sometimes wenzake wapo bungeni yeye yupo clouds radio anarusha vijembe kwa wale anaowaona ni tishio kwenye swala lake la urais,

Hafanyi kazi yake kama waziri na mfano mzuri ni lile sakata la meli ya Iran kupeperusha bendera ya Tz alafu waziri kutoka zenji akasema ni kweli wameruhusu bendera iyo kutumika ila membe akatoa a merely statement eti wanafanya uchunguzi kama jambo hilo ni kweli.

Tunangoja budget yake mlaku mkubwa huyu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Membe amechanganyikiwa,
Sometimes wenzake wapo bungeni yeye yupo clouds radio anarusha vijembe kwa wale anaowaona ni tishio kwenye swala lake la urais,

Hafanyi kazi yake kama waziri na mfano mzuri ni lile sakata la meli ya Iran kupeperusha bendera ya Tz alafu waziri kutoka zenji akasema ni kweli wameruhusu bendera iyo kutumika ila membe akatoa a merely statement eti wanafanya uchunguzi kama jambo hilo ni kweli.

Tunangoja budget yake mlaku mkubwa huyu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Alinikera sana huyu jamaa na hiyo red hapo juu. Nilitupia mbali headset zangu maana nilijikuta nasikiliza ujinga!
 
Mheshmiwa Rais Membe akiwa ziarani Zanibar. daah Membe unatisha! hivi kweli kwa kimuhe muhe hicho cha kuwaza urais 2015 unafanya kazi yako ya uwaziri vizuri kwa sasa? ningekuwa JK ningekumwaga ili uko-concentrate na kampeni zako za kimajungu majungu! anyway sishangai watu wa kusini ndo mlivyo mmekaa kimajungu majungu tu.
 
Membe kapoteza focus kabisa kwa sasa, naona anaanza kutapatapa mapeema, anaona kama 2015 ni mbaaaliii saanaaa, asubiri mpambano ndo aone!
 
The history hunts him, he ril think that the history will repeat itself. Remember Mkapa and Jk from the same office? THIS HUNTS HIM and he see no right.
 
nyie mwacheza sana raisi ni dk slaa hicho ni kitu ambacho kiko wazi na mwenye kubisha alete sababu za kubisha kwake hapa,
 
Kuna watu wengi sana wenye sifa za kuwa Rais ndani ya CCM na Membe ni mmoja wapo. Nashangaa watu mnaanza kumchafua huyu Mkuu wakati hata hajatamka hadharani kama kweli ana nia ya kugomea Urais. Siku moja nilimuuliza kama ni kweli ana nia hiyo akaniambia bado hajafanya uamuzi huo, anasoma mchezo na wakati ukifika ataamua na ataweka wazi nia yake! Majuzi hapa kasema bado hajaoteshwa - sasa haraka na mashaka ya nini?

Kuhusiana na uwezo, umakini na uchapakazi - hakuna shaka kabisa, ni mtendaji mzuri sana na binafsi nampa moyo ajitokeze kutafuta ridhaa yetu ya kuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania. Sisi na ile 'presidential exploratory team' tutamtazama kabla ya kuamua kama anastahili kupata kura za kundi letu ama la!
 
membe hafai,anasema akiwa rais ADUI ZAKE WAKIMBILIE KENYA,hatufai hata kidogo,ccm ni lowasa tu
 
jamani, hivi uraisi umekuwa simple kuliko hata ualimu wa chekechea?

Kweli tanzania tunahitaji mtu aje a-overhaul bongo za watu kadhaa.
 
membe hafai,anasema akiwa rais ADUI ZAKE WAKIMBILIE KENYA,hatufai hata kidogo,ccm ni lowasa tu
Lowassa ni mmojawapo wa watu wanaofaa kuwa Rais kutokea CCM lakini ana challenge kubwa ya kujisafisha mbele ya wananchi baada ya kuchafuliwa na CDM na jamaa zake wapambanaji wa ufisadi! Anayo kazi kubwa mbele yake kabla kamati huru kama ya kwetu haijaamua kumpitisha na kumuunga mkono kwenye harakati zake za kutawala nchi yetu kupitia CCM!
 
Hakuna mtu asiye na madhaifu. Kwa wote wanaotajwa tajwa, Membe is the best choice.
 
Juzi wakati akiihojiwa katika kipindi cha 45 Min. Nilishangazwa na kauli zake kwamba akioteshwa kuwa rais 2015 wabaya wake watakimbilia Kenya from 2016. Hii kwangu sikuona ni nzuri kwa mwanasiasa, lazima tukubali kutofautiana, sio kila mtu awe anakusupport wewe tu hata Yesu watu walimpinga sembuse mtu ngulu mbili. Sijafurahi kabisa hii na nahisi ana visasi
Aliweka bayana wabaya wake ni watu wa aina gani? Kama ni mafisadi sioni ubaya wa matamshi yake.
 
..Kikwete amesema hakukuwa na rushwa ktk suala la rada.

..Kilango naye amenukuliwa akidai kwamba wabunge walikosea kumsulubu Lowassa.

..kwa kweli Sitta,Mwakyembe,na Membe, sijui watatoka vipi ni hoja zao dhidi ya Lowassa na kundi lake.
 
Back
Top Bottom