Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

Raisi wa ahadi mwongo na mnafiki
pesa ya rushwa anaiita change
atawalipua wabaya wake huyu ni mwongo na mnafiki kama mwanaume kweli awataje
eeti hawakubali wanaompindua gadaf kwa pick up sijui alitaka watumie hammar
kila aongealo eeti anaoteshwa sijui na nani
hana tofauti na jk kwa kila kitu
membe ukiwa raisi na mimi ntahama nchi hii nikaish malawi!
yatakuwa makosa makubwa sana kwa cc magamba!
 
Je anazo qualities zote za kiongozi? Ni zipi? Je ni kweli ana hasira? na itakuwaje watu ambao aliwakosea au walimkosea siku za nyuma? Maana mmoja kati ya sifa kuu za kiongozi ni kuwa mvumilivu ama sivyo itakuwa kila kukicha unanyonga watu.

Je wanaompinga wana mawazo gani kuhusu huyu mheshimiwa? Nazungumzia kuanzia akina Mudhihir mpaka waliopo madarakani juu.

Je tangu aingie Foreign kuna mabadiliko gani makubwa kashafanya?

Nauliza kwa sababu inaonekana kuwa kuna kila dalili anaweza kuwa rais wetu 2015 lakini je watanzania wategemee rais wa namna gani na presidency yake itakuwa ya namna gani?

- Mmmoja wa the best Foreign Minister Tanzania has ever had, leo Tanzania tuna heshima tena kwenye International Community we once had, na ubadhirifu wa mapesa yetu kwenye balozi zetu umepungua sana leo Tanzania tuna nyumba za balozi zetu tunazomiliki than ever before, Foreign Ministry ni moja kati ya wizara chache sana zinazofanya kazi kwa ufanisi sana katika Serikali yetu,

- Personally, I don't know him that much but I like his works especially his policies since he became the Minister of Foreign, does he qualify to be the President? yes!! If your answer is no, my question to you is to compare him with who?

Es!
 
Je anazo qualities zote za kiongozi? Ni zipi? Je ni kweli ana hasira? na itakuwaje watu ambao aliwakosea au walimkosea siku za nyuma? Maana mmoja kati ya sifa kuu za kiongozi ni kuwa mvumilivu ama sivyo itakuwa kila kukicha unanyonga watu.

Je wanaompinga wana mawazo gani kuhusu huyu mheshimiwa? Nazungumzia kuanzia akina Mudhihir mpaka waliopo madarakani juu.

Je tangu aingie Foreign kuna mabadiliko gani makubwa kashafanya?

Nauliza kwa sababu inaonekana kuwa kuna kila dalili anaweza kuwa rais wetu 2015 lakini je watanzania wategemee rais wa namna gani na presidency yake itakuwa ya namna gani?
Mleta maada, this is your first post!! nilitegemea uko na data za kutosha kutupatia wadhifa wa Membe, sifa zake kuanzia huko nyuma hadi sasa. This is a serious issue, watu hapa wataanza kulopoka bila kumjua Membe kimaadili. Nashauri umalizie homework yako ya kutuletea CV (ingawa CV si kila kitu kuhusu mtu) but at least tutajua pa kuanzia.
 
Khaa....alokwambia atakuwa rais ni nani? Hatuhitaji rais tena kwani mfumo huu umefail for 50yrs. Tunataka katiba mpya kwanza......we uko Tanzania wewe?
 
Kwani nani kasema kuwa is given CCM kushinda come 2015? mmesahau jinsi CDM wanavyokuja juu...je wagombea wengine CCM nao vipi? Hakuna guarantee kuwa Membe ndio chaguo la CCM kuna kina Sumaye, Tibaijuka, Sitta, Nahodha, Bilal, Magufuli na bila kusahau Lowassa wote hao wanaweza kugombea na kushinda toka CCM kisha kupambana na kushindwa au kushinda na mgombea wa CDM, who knows?
 
Je anazo qualities zote za kiongozi? Ni zipi? Je ni kweli ana hasira? na itakuwaje watu ambao aliwakosea au walimkosea siku za nyuma? Maana mmoja kati ya sifa kuu za kiongozi ni kuwa mvumilivu ama sivyo itakuwa kila kukicha unanyonga watu.

Je wanaompinga wana mawazo gani kuhusu huyu mheshimiwa? Nazungumzia kuanzia akina Mudhihir mpaka waliopo madarakani juu.

Je tangu aingie Foreign kuna mabadiliko gani makubwa kashafanya?

Nauliza kwa sababu inaonekana kuwa kuna kila dalili anaweza kuwa rais wetu 2015 lakini je watanzania wategemee rais wa namna gani na presidency yake itakuwa ya namna gani?

Hatutaki tena raisi mkorogo. nimeona wana matatizo. raisi ambaye anaongea kikike kike hapa hatumpi kura tena. huyu embe dodo hata ukimsikiliza kwa makini tu utajua ni chai tu hana ishu. Raisi lazima aongee kama mwanaume na siyo kuongea maneno ya kwenye kanga na mipasho. Nafikiri mmeona maraisi wa kimipasho walivyo pashkuna.
 
Je anazo qualities zote za kiongozi? Ni zipi? Je ni kweli ana hasira? na itakuwaje watu ambao aliwakosea au walimkosea siku za nyuma? Maana mmoja kati ya sifa kuu za kiongozi ni kuwa mvumilivu ama sivyo itakuwa kila kukicha unanyonga watu.

Je wanaompinga wana mawazo gani kuhusu huyu mheshimiwa? Nazungumzia kuanzia akina Mudhihir mpaka waliopo madarakani juu.

Je tangu aingie Foreign kuna mabadiliko gani makubwa kashafanya?

Nauliza kwa sababu inaonekana kuwa kuna kila dalili anaweza kuwa rais wetu 2015 lakini je watanzania wategemee rais wa namna gani na presidency yake itakuwa ya namna gani?

1. ana kisasi sio cha kawaida, at least kutoka kwenye statement zako, amesema, akioteshwa (akiwa rais) wabaya wake watakimbia nchi, he is busy tracing and punishing wabaya wake na sio kuleta maendelea.

2. FISADI: kila ukiigusa pesa ya libya (around bilioni 29 pesa ya TZ) waliyopewa meis, jamaa anakua mbogo, WHY?

Yako Maneno ya Kebehi, Lakini Ukweli wa huyu Bw ni kuwa ni mtu ambaye anapenda san kusema UONGO, ukipata nafasi ya kuzungumza na viongozi wenzake utaona wakimteta kuwa Jamaa ni Muongo wa kupindukia.

He has big Interest ya kuwa Raisi but he is not a leadership material at all. Infact ni makosa hata kuwa Foreign Minister.
 
Jamani hakuna haja ya kuumiza kichwa, as far as we know he can only become the party's presidential candidate! He himself knows he will not win the presidency!
 
Kwani nani kasema kuwa is given CCM kushinda come 2015? mmesahau jinsi CDM wanavyokuja juu...je wagombea wengine CCM nao vipi? Hakuna guarantee kuwa Membe ndio chaguo la CCM kuna kina Sumaye, Tibaijuka, Sitta, Nahodha, Bilal, Magufuli na bila kusahau Lowassa wote hao wanaweza kugombea na kushinda toka CCM kisha kupambana na kushindwa au kushinda na mgombea wa CDM, who knows?

na kizazi kipya nape au mwigulu nchemba
 
wakupambana na chadema mwaka 2015 ni lowasa pekee yake.membe ni advantage ya chadema kuchukua nchi(mwenye akili na aelewe)
 
Mleta mada,vipi topic ya kwanza tu ya membe?Hata haujakaribishwa ili tukueleze jinsi ya kuchangia...wacha kukurupuka.Au una maslahi binafsi na membe au umetumwa? Hizo njaa zako zitakupeleka pabaya Critic,urais ni majaliwa ya mwenyezi mungu na sio kwa kampeni za humu jamvini.Hata hivyo membe ni mbunge wangu namfahamu vizuri na uwezo wa kuongoza nchi hii anao na sifa zote bila fitina anazo,lakini kama ambavyo nimetangulia kusema kuwa urais ni majaliwa ya mwenyezi mungu.
 
Juzi wakati akiihojiwa katika kipindi cha 45 Min. Nilishangazwa na kauli zake kwamba akioteshwa kuwa rais 2015 wabaya wake watakimbilia Kenya from 2016. Hii kwangu sikuona ni nzuri kwa mwanasiasa, lazima tukubali kutofautiana, sio kila mtu awe anakusupport wewe tu hata Yesu watu walimpinga sembuse mtu ngulu mbili. Sijafurahi kabisa hii na nahisi ana visasi
 
Nitarudi baadaye ........!
 
wana jf ebu tuwe makini lets put the record staight.......alichosema atawataja watu hao wanoeneza uwongo juu yake kwa sasa hivi bado anakusanya data, hakusema atalipiza kisasi tuanzie hapo
 
Membe mtu makini sana na mwenye kutoa maamuzi magumu penye ulazima wa kufanya hivyo. He is bold na mwenye uthubutu na ndiyo aina ya kiongozi Tanzania ya sasa inahitaji.
 
So far rais ni mwakyembe tuu.. I hate ccm lkn wakimweka mwakyembe naweza kua na 2nd thot
 
Huyu Ndugu Membe anauota Urais 2015 daah! anafikiri ati ile kawaida ya Waziri wa Mambo ya Nje ndo anakujaga kuwa Rais bado inaendelea kama ilivyotokea kwa Mkapa na JK.

Muone anavyojipitisha kwenye Matamasha ya Injili (Tamasha la Pasaka pale Uwanja wa Taifa), hivi jana tu kaenda Mwenyewe kutoa salamu za Rambi Rambi, kwenda ughaibuni kuwa-please waTZ wanaokaa huko kuwa atapigia debe uraia wa nchi 2(Dual Citizenship) duuh!

Si bora ungechukua mawaziri wenzako mwende kwa group! au ndo unajitangaza kiaina kwa Wazanzibari/wanadiaspora? Unafikiri Looo Asa! atakubali kuuachia Uraisi 2015, Migiro je? kuna Mzee Sita! Kaka Membe bado sana kuwazia Urais JIPANGE UPYA
 
Back
Top Bottom