Mwalimu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,599
- 1,088
Membe akiwa rais wa nchi hii bora nifirwe kuliko kumpa huyu mtu suport.I gurantee you dat.
PAW uko wapi???
Membe akiwa rais wa nchi hii bora nifirwe kuliko kumpa huyu mtu suport.I gurantee you dat.
NamkubaliWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema hajaoteshwa kugombea Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2015.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri Membe alisema harakati za kugombea urais siyo kitu kidogo cha kukurupuka, kwani unatakiwa kuwa na muono unaokujia kuwa mgombea.
Usikurupuke tu, lazima uwe na kitu kinakutuma kuomba kugombea Urais, lakini sasa ninachosikia ni kutoka kwa watu kuwa nataka kugombea kitu ambacho hakina ukweli, alisema Membe.
Membe alisema wakati alipotaka kugombea ubunge, alisikia sauti ikimtaka kugombea na akafanya hivyo, lakini kwa sasa bado sauti hiyo haijamjia.
Sauti kama hii ilinijia wakati nilipotaka kugombea ubunge nami nilifanya hivyo, lakini sasa bado sauti hiyo haijanijia, alisema Membe.
Membe simkubali hata,
yuko mno local.
Jambo moja nina uhakika kuhusu Membe na Urais.
Awali ya yote, wa kwanza kabisa kuzungumzia suala la Member na Urais ni gazeti Rai miaka kadhaa iliyopita pale alipomuumbua Hassy Kitine. Wakati huo Membe alikuwa ni Mbunge tu...enzi za Mkapa. Likewise, wengi wakati huo walikuwa hawamfahamu Membe.
Baada ya Kombora la Membe ambalo lilimwondoa Kitine kwenye nafasi ya Uwaziri, Rai ikafanya mahojiano na Membe na moja ya maswali ambayo ilimuuliza ni kama ana mpango wa kugombea Urais 2005. Membe akasema wazi kwamba hana mpango huo.
Baada ya kuingia JK, Membe alianza unaibu Waziri (if am not mistaken, mambo ya ndani au nishati). Later akateuliwa Waziri Mambo ya Nje! Kama ilivyo mazoea yetu, tunazani kila anayekuwa Mambo ya Nje, ni move towards Urais...hili lilitokana na Mkapa na JK kuwa Mambo ya Nje b4! Hapa sasa, ndipo Wabongo tukaendelea kuitilia nia suala la Membe na Urais. nakumbuka hata yeye mwenyewe aliwahi kujibu kwamba, hadi yeye, kuna Mawaziri 13 ambao walipitia nafasi hiyo, na only 2 ndio wamepata kuwa marais.
So, kama kweli Membe ana nia na Urais, basi nia hiyo ilijengwa na vyombo vya habari pamoja na wananchi. Katika hali ya kawaida, ikiwa watu wanakuzungumzia zungumzia kuhusu post fulani, basi huenda nawe ukajikuta unajihisi labda unastahili kwa nafasi hiyo!! Na as far as nae ni Mtanzania basi anastahili nafasi hiyo....Wapiga kura ndio watakaomua kama anafaa au hafai.
Binafsi, sijaona move yoyote ya Membe kutaka Urais sana sana ninachokiona ni hofu ya wanaotaka urais pamoja na wapambe wao. Hawa watu inaonesha dhahiri kwamba wanamuhofia Membe...!!!
Hii habari wala haikukaa sawa zaidi ya kuzungumzia maudhi ya Mudhihir..Kinachonishinda kuelewa ni kwamba Membe pia ni Mbunge wa Mtema huko Lindi iweje awe mtu asiyependa maendeleo ya Lindi?..Hicho kiwanda cha saruji ambacho wanadai Membe anakiwekea ngumu, tuambiwe sababu basi! na kinajengwa na nani na kwa kibali gani hata Membe aweze kuzuia uwekezaji huo..
....
Mkandara,
Nadhani ugomvi mkubwa ni kwamba kiwanda kinajengwa jimbo la Membe wakati malighafi inapatikana Mchinga jimbo la Mudhihir kitu kama hicho..si unajua kila muamba ngoma
Maundumula hauko sahihi, Lindi mjini anakotaka Membe kijengwe kiwanda sio jimbo la Membe. Fanya utafiti kabla hujarukia keyboards!!