Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Cute
Cute ahadi au mtambo wenyewe (LoL):wave:
Cute
Huyo ndo mtu pekee anayeweza kuiokoa CCM vinginevyo kwa kasi iliyoonyeshwa na wanamapinduzi kwenye uchaguzii huu CCM itakufa 2015 hata kama watachakachua na kuchekecha kama wanabomboka enzi hizo kwa wale wazee wenzangu.Chama tawala kina mpango wa kuteuwa askari wake machachari John Pombe Maghufuli aukwae urais 2015 ili airejeshe heshima ya chama,kwani anajulikana kwa uchapa kazi,mpo hapo????
CCM ni chama cha watu wasio safi, kama Magufuli ni msafi anatakiwa atoke CCM la sivyo atatengwa tu!
Ukumbuke ndani ya CCM mara mbili sasa maraisi wametoka Bara, wazanzibar nao watakuja juu watataka this time atoke Zanzibar
Ukumbuke ndani ya CCM mara mbili sasa maraisi wametoka Bara, wazanzibar nao watakuja juu watataka this time atoke Zanzibar
Asitoe ahadi ya hii kitu kama mwenziye
![]()
Magufuli hawezi, yeye ni mtu wa amri-amri tu.urais unataka busara na hekima kama za DR wa ukweli!!!
Magufuri is too mechanical and over ambitious. He is a Mrema-type.
Raisi ajaye ni Dr. Slaa kwani hawezi kuchakachuliwa mara mbili.......................aliyeumwa na nyoka akiguswa na jani hufanya nini?.................hushtuka..........................Mwenye macho aone na mwenye masikio asikilize hili baragumu.................Chama tawala kina mpango wa kuteuwa askari wake machachari John Pombe Maghufuli aukwae urais 2015 ili airejeshe heshima ya chama,kwani anajulikana kwa uchapa kazi,mpo hapo????
Chama tawala kina mpango wa kuteuwa askari wake machachari John Pombe Maghufuli aukwae urais 2015 ili airejeshe heshima ya chama,kwani anajulikana kwa uchapa kazi,mpo hapo????