hata wewe nini? fisadi au nini sijakupat mkuu.hata mimi : :tape::tape:
hata wewe nini? fisadi au nini sijakupat mkuu.hata mimi : :tape::tape:
Heshima itatoka wapi kwenye system mbovu?Chama tawala kina mpango wa kuteuwa askari wake machachari John Pombe Maghufuli aukwae urais 2015 ili airejeshe heshima ya chama,kwani anajulikana kwa uchapa kazi,mpo hapo????
Chama tawala kina mpango wa kuteuwa askari wake machachari John Pombe Maghufuli aukwae urais 2015 ili airejeshe heshima ya chama,kwani anajulikana kwa uchapa kazi,mpo hapo????
Chama tawala kina mpango wa kuteuwa askari wake machachari John Pombe Maghufuli aukwae urais 2015 ili airejeshe heshima ya chama,kwani anajulikana kwa uchapa kazi,mpo hapo????
Magufuri is too mechanical and over ambitious. He is a Mrema-type.
kama kweli safi sana
Labda uwaziri wa nyasi na tope...CCM hawana desturi ya kuchagua wachapa kazi kuwa Rais.
Tafuta zezeta kuliko wote CCM, huyo ndie mgombea 2015.
hahahahah Labda mafisadi wote wawe wamekufa na mizimu yao imezikwa mara 100
Mhh aisee nikisikia huyu mtu ameemia upinzani... nitaweka nadhiri sitakaa nipokee wala kutoa rushwa, Fitina kwangu Mwisho...Kila mtu anahaki ya kutoa maoni na kusikilizwa...uwii
hafananii na wana CCM huyu utafikiri atokea China msimamo atikisiki, ni true leader cause anajua kuitomia mamlaka aliyonayo
chama tawala kina mpango wa kuteuwa askari wake machachari john pombe maghufuli aukwae urais 2015 ili airejeshe heshima ya chama,kwani anajulikana kwa uchapa kazi,mpo hapo????
Asitoe ahadi ya hii kitu kama mwenziye
![]()