Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

Ndiye kiongozi anayepiga debe kwa nguvu juu ya inji yetu kujiunga OIC. Havi karibuni wakati wa uchaguzi alifanya closed door meeting na viongozi wa madhehebu ya kikristo. Anataka kuelekea wapi........?

Ukimuangalia usoni unaona dalili zozote za akili timamu?
 
Lets consider merits and demerits za kujiunga na OIC............Kwa anayezijua naomba msada............
 
Hizo nyendo ni Project 2015;Amepewa kazi maalum na JK na Iran kuhakikisha kuwa Tanzania inajiunga na OIC,na akifanikisha ameahidiwa billions of oil dollars kufanikisha tamaa yake ya kuwa president wa TZ after JK...what a stupid politician he is(I mean he is in such a blind rush,si kila aongozaye Foreign Ministry lazima awe president,stupid!):israel:
 
Ndiye kiongozi anayepiga debe kwa nguvu juu ya inji yetu kujiunga OIC. Havi karibuni wakati wa uchaguzi alifanya closed door meeting na viongozi wa madhehebu ya kikristo. Anataka kuelekea wapi........?

Membe ni Mkristo jina, lakini ukweli ni kwamba yeye ni Muislamu pure, kama alivyo EL na Mwamunyange.
 
Ndiye kiongozi anayepiga debe kwa nguvu juu ya inji yetu kujiunga OIC. Havi karibuni wakati wa uchaguzi alifanya closed door meeting na viongozi wa madhehebu ya kikristo. Anataka kuelekea wapi........?

kwa sasa sitashangaa lolote linalotokea nchi hii, nimeshangaa mpaka nimekua sugu:A S angry::A S angry:
 
mmmmh,haya mie sijui kama nitafia tanzania i think nitahama nchi
 
Waislamu kama waislam wajiunge wenyewe na OIC na wafungue wenyewe mahakama yao bila ya kushirikisha serikali ili mradi hawavunji sheria.

Sioni hili swala lina haja ya mjadala........hata kesho wanaweza kufanya hivyo, wanasubiri nini?

Huyo nae ameshapotea, ametumiwa na JK bila kujua kumbe amejiaribia kotekote, na safari hii anaweza asirudi
 
Jamani mwenye info zozote kuhusu huyu membe na mafisadi, kuna jamaa mmoja anasema mafisadi wanamuona ka jamaa anaweza wageuka ka wakimsupport kuingia urais 2015

nawasilisha
 
Jamani mwenye info zozote kuhusu huyu membe na mafisadi, kuna jamaa mmoja anasema mafisadi wanamuona ka jamaa anaweza wageuka ka wakimsupport kuingia urais 2015

nawasilisha

Kipima joto!
 
Kilichobaki katika katiba mpya kuwe na kipengele kama alichotumia bingu wa mutharika alipohama chama kilichomwingiza madarakani na kuunda chake afu akawashughulikia mafisadi wale wakina bakil muluzi.
 
Sio Mafisadi tu,hata mimi simtaki.Uwe wake wa kuiongoza nchi hawezi.Kumbuka wakati wa mchakato wa kumpata waziri mkuu alikuwepo,Usalama wakasema hawezi kuunganisha TZ,chaguo pekee lilibaki kwa Pinda,licha ya kukataa wazee ilibidi wamwombe.Kwa maana hiyo Membe hawezi.Ila 2015 ni Magufuli au Dr Slaa
 
afai membe nasikia kwake amejijengea hekalu la ukweli uku wananchi wake wanateseka na ukosefu wa maji jimboni kwake atufai kabisa na pia itakuwa vizuri sana kama watampitisha mwaka huo ili sisi tupate nguvu zaidi ya kucchukua nchi,
 
Hii nchi ilipofikia inahitaji kiongozi mwenye utashi wa kweli na nia ya kweli ya kuliongoza taifa hili na asiye husiana na mafisadi, binafsi 2015 akipewa magufuli au dr.slaa naamini hii nchi itarudi katika hazi yake.mungu ibariki tanzania mungu ibariki afrika
 
Back
Top Bottom