hili vuvuzela tu ....jizi likichukua hili tumekwishayule sisco(lowasa)jeeeeee?
MAGHUFULI JOHN POMBE(PHD) / ASHA ROSE MIGIRO wanafaaa kuongoza nchi
Kheri Mama Migiro naweza mpa kura yangu
Pinda tayari alishasema hii ndio mara yake ya mwisho. Wapiga kura wametoa message kali kwa hiyo CCM itajipanga 2015. Sidhani kama watamsimamisha mbabaishaji au mshikaji wa Kikwete. Lakini yote hayo pia yatategemea jinsi Kikwete atakavyoendesha nchi miaka 5 ijayo.
kama CCM wanataka kushinda nafasi ya RAIS 2015 Bila ya kutumia NGUVU YA ZIADA na KAZI YA ZIADA kama uchaguzi mkuu wa mwaka huu kama wenyewe waklivyosema basi wamsimamaishe DR JOHN POMBE MAGUFULI(PHD)
Nasikia wanogopa kumpitisha kuhofia kuwa ataanza na mafisadi wote kuwasafisha na kuondoa uovu katika nchi hii...
NGUVU YA ZIADA na KAZI YA ZIADA kama uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni nini?
Chama chao CCM kilishaoza, hataweza kufanya lolote... aje CHADEMA awe mgombea mwenza wa Dr. Slaa.
hakuuza yeye waliuza wenye nchi wakati huo, BARABARA ALIJENGA YEYEMkuu huyu aliuza zile nyumba zetu labda aombe msamahaa.
:tape::tape: