Nyie ngojeni ipigwe kura ya maoni kuondoa vikomo vya urais.. kwa kisingizio cha demokrasia.. mnaye Kikwete hadi Ridhiwanni atakapomrithi.
Mkuu,
It sounds like utafagilia jinsia.
Nwei, Mama Migiro anafaa lakini sidhani kama ataweza mikiki mikiki maanake lazima tuangalie taifa litakuwa linapita katika wakati mgumu kiasi gani huo muda.Inabidi huo muda tuwe na rais mchapa kazi zaidi na asiye na woga kwani nafasi ya Tanzania ndani ya EAC pia ni changamoto kwa kiongozi wa muda huo
Membe,huyu jamaa ni afadhali kuliko Jk coz anajua kujenga hoja za maana kulingana na profession yake ingawa si mbunifu.huyu ni mtu wa kulinda status quo
Huko CCM nadhani John Pombe Magufuli ndiye ambaye angetufaa kwa muda huo au Samweli Sitta.
Magufuli ni mchapakazi na ni mbunifu,ana moyo wa Ujasiri nk
Sasa mleta hoja sijui atakua amezingatia ndani ya chama Tawala tu ama,maanke tuna wachapakazi kama akina Dr.Slaa huko opposition.
Si vibaya kuwajadili potential leaders wetu kama wengine wanavyotaka kuonyesha.Nasizitiza,ni bora kuwajadili sasa hivi tuwajue kuliko kusubiri yatufike ya Benjamini Mkapa.
Ingawa najua hata JK alijulikana tangu mwanzo lakini still tukaambulia maumivu
Kwa maono yangu ni kuwa, kama JK akiruhusiwa kuendelea na uraisi, basi 2015 tunaweza tusiwe na uchaguzi maana nchi itakuwa iko kwenye civil war au vurugu nyingine zinazofanana na Civil War. Mola tuepushe na hili.
Hapo pekundu hebu tutajie mmoja tu atakayeweza kusimama na Mh. J.K 2010?,Kwa sasa tuachane na 2010 kwani inaonekana watu wanamkwepa wanaanza mchakato wa 2015, sasa ni bora tuanze kujadili ya 2015.Huu ni upotoshaji,kwa nini kuzungumzia 2015 badala ya 2010? Tunataka Rais mpya 2010 kisha tutajadili hayo ya 2015.
Wakuu inaelekea tumesahau au tunajaribu kufumbia macho ukweli....
hivi hatujui CCM ni ya nani....si ni wazi kwamba CCM ni ya EL na RA na wapambe wao...kumbukeni Bi SS alisema nini kwenye kamati ya Mzee Mwinyi....EL ni mwanaume wa shoka........
mimi nadhani nani awe Raisi itategemea EL anamtaka nani kama hayuko tayari kujipa ufalme yeye mwenyewe...
Masaa nane ya nini?Jamani Masaa nane hayajafika tuuu tangu tar.26/O2/2010... Acha nikalale...
kwa uchaguzi wa 2015 ambapo makundi ndani ya mtandao yanaanza kusigana nasema wazi ni mara mia rais awe bernard membe kuliko edward lowassa nitaendelea kutaja sababu mbalimbali katika hilo, however bado tukiamua asha rose migiro anaweza kutusaidia pia.

Baada ya huyu mtu wenu, ni bora tukapata mtu asiye fungamana na chama cho chote cha siasa hasa ccm (better awe na dictatorship mind set) na siyo membe wala yeyote kutoka ccm
1-avunje na kuunda upya tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kwa mwonekano wa kitaifa na si kisiasa, kabila wala dini
2-arekebishe au asimamie kuandikwa upya katiba
3-ikiwezekana hata mahakama iundwe upya na ipractice kuwa chombo huru
4-ikiwezekana hata vyama vya siasa vivunjwe na kuundwa upya
Hii demokrasia feki haijatusaidia lolote! Naunga mkono tunahitaji dictator kama yule aliyewahi twala South Korea baada ya vita vya Korea
Whaat? Tafadhali usifanye utani!!