Mkuu nakupa heshima kubwa kwa hili maana naona hii issue kama ni ya kupikwa pikwa hivi. Bila kutoa ushahidi tutasemaje kama Membe has jeopardized nation interest au Membe ni mtu muongo? Pengine wanaosupport hilo hii thread watupe vigezo na ushahidi ni kwanini wanataka tuwaamini wako sahihi?Mimi nadhani kuna mgongano wa mambo ya siasa za Lindi huko, na mambo ya Mambo ya Nchi za Nje na mgongano ule mwingine (ambao ni wa kibinafsi zaidi). Ndio maana wengine inabidi tukae pembeni na popcorn zetu.
Mkuu nakupa heshima kubwa kwa hili maana naona hii issue kama ni ya kupikwa pikwa hivi. Bila kutoa ushahidi tutasemaje kama Membe has jeopardized nation interest au Membe ni mtu muongo? Pengine wanaosupport hilo hii thread watupe vigezo na ushahidi ni kwanini wanataka tuwaamini wako sahihi?
Inaonekana Kanda2 anamfahamu.- Unajua ni muda mchache tu uliopita mtu amenitonya kwamba kuna Membe kwenye hii thread, duh! haya wanangu wekeni vitu hapa saafi sana!
Respect.
FMEs!
- Unajua ni muda mchache tu uliopita mtu amenitonya kwamba kuna Membe kwenye hii thread, duh! haya wanangu wekeni vitu hapa saafi sana!
Respect.
FMEs!
Mkuu amechangia kiasi kwenye mjadala huu kwa jina fulani,soma utagundua.- Unajua ni muda mchache tu uliopita mtu amenitonya kwamba kuna Membe kwenye hii thread, duh! haya wanangu wekeni vitu hapa saafi sana!
Respect.
FMEs!
NINA SWALI HAPA:
Hivi kuna kiongozi MUISLAAM ambaye alishawahi kushambuliwa na Game Theory?
Naomba jibu la ndiyo au hapana kama una uhakika ili niweke rekodi zangu sawa. Tafadhali usiingize story zaidi au maneno mengi ambayo mie siyataki. Jibu fupi tu nahitaji.
Mzee wangu FMEs, Membe hana muda wakuja hapa, the guy has a job to do; he has no time to rest. Wanaomfagilia hapa ni aidha wapambe wake au watu wanaoona anafanya kazi yake vizuri. Period.
FMEs, take my words. He isn't here and he will never be here; but his fans.
[/COLOR][/B]
Mkuu mbona uko kimya nimekujibu jana.kuwa ni Mkulo Mustafa,Zitto Kabwe, Kubenea, Shamsa Mwangunga.,
LAKINI LABDA Ufuatilie sana posts za Game Theory hajaacha kushambulia watu hasa hao unaosema kuwa ni waislam.Mfano kamshambulia JK kwenye mada nyingi sana kuliko hizi mbili za Membe,
kamshambulia Mkuu wa Usalama wa Taifa na idara kwa ujumla mkuu wa Usalama ni Muislam tizama vizuri utaona hilo,
Kamshambulia sana Rostam Aziz na kulikuwa na mchango wa kuchangia gazeti la Mwanahalisi hapa JF wakati ule ambapo Rostam Aziz alilipeleka gazeti hilo mahakamani.bila kumsahau Waziri Jumanne magembe, au tizama thread ya Waziri Juma Kapuya na Akudo Impact Band akimsaga waziri Kapuya.
GT kwenye mada nyingi tu kamshambulia Rostam.na Yusuf Manji. kamshambulia Balozi Majaar, Ridhwan Kikwete,Marehemu Amina Chifupa, Juma Pinto,
unaweza kujiridhia kwa kupitia posts zake ambazo ziko humu.kwa hiyo jibu ni ndiyo kashawahi mara nyingi kuwashambulia viongozi waislam lakini hajawahi kumshambulia john Malecela,Anna kilango,John MAGUFURI, Naibu waziri Chami.
Mkuu FMES,- Dalili zote huko nyuma ya mlango according to the dataz, zinaonyesha kwamba Waziri Membe ana nafasi kubwa sana ya kushika nchi ifikapo mwaka 2015, sio vibaya kwa sisi wananchi tukaanza kujiuliza mapema je tunaweza kuwa better off na Membe kuliko wengine na hawa wa sasa? Au yatakuwa ni yale yale?
Respect.
FMEs!
Akiruhusiwa?!! na nani? Jamaa ni Rais mpaka 2015, usilete rongorongo zako hapa, jaribu kuleta fujo uone.Mkuu,
Kwa nini unadhani Membe ana nafasi kubwa wakati hafahamiki sana kwa wananchi beyond his neighbourhood?
Kwa maono yangu ni kuwa, kama JK akiruhusiwa kuendelea na uraisi, basi 2015 tunaweza tusiwe na uchaguzi maana nchi itakuwa iko kwenye civil war au vurugu nyingine zinazofanana na Civil War. Mola tuepushe na hili.
Hata yeye naye liingizwa mjini na NkapaBila MWALIMU, yeyote anaweza kuwa Rais Nchi hii.
Huu ni upotoshaji,kwa nini kuzungumzia 2015 badala ya 2010? Tunataka Rais mpya 2010 kisha tutajadili hayo ya 2015.- Dalili zote huko nyuma ya mlango according to the dataz, zinaonyesha kwamba Waziri Membe ana nafasi kubwa sana ya kushika nchi ifikapo mwaka 2015, sio vibaya kwa sisi wananchi tukaanza kujiuliza mapema je tunaweza kuwa better off na Membe kuliko wengine na hawa wa sasa? Au yatakuwa ni yale yale?
Respect.
FMEs!
Matumizi ya pesa kwenye uchaguzi yamebanwa kwelikweli. Rais mpya hakuna 2010. Hata upinzani hawaweki mtu.Huu ni upotoshaji,kwa nini kuzungumzia 2015 badala ya 2010? Tunataka Rais mpya 2010 kisha tutajadili hayo ya 2015.