NINA SWALI HAPA:
Hivi kuna kiongozi MUISLAAM ambaye alishawahi kushambuliwa na Game Theory?
Naomba jibu la ndiyo au hapana kama una uhakika ili niweke rekodi zangu sawa. Tafadhali usiingize story zaidi au maneno mengi ambayo mie siyataki. Jibu fupi tu nahitaji.
Hajalishi amejiunga lini na ana posts ngapi, unachotakiwa kufanya ni kujibu maswali yake ili mjadala uendelee! Na hayo maswali wameuliza wengi tu. Jibu tafadhali.Chechetuka Gegedua
Senior Member
Join Date
28th May 2009
Total Posts
60
duh!
Kaazi kweli kweli!
Mimi nadhani huyu jamaa ni tishio la Lowasa, RA, Mudhihiri, na mafisadi wengine wanoona kwamba ana nafasi ya kuukwaa ukuu wa nchi na hiyo ikitotekea wamekwisha!! Kama sio tishio lao wala hasingekuwa anajadiliwa, na kadri tunavyomjadili ndivyo tunavyompandisha!!
Uongo, fitina, na uzushi zote ni kete za good politicians. Leteni hoja mzito against this man, if any.
I think JK ana kila sababu za kujivunia kwa Membe; unfortunately JK hasikii ushauri na ni mwoga wa kivuli chake. So far Membe ni miongoni mwa mawaziri wachache sana ambao sio waoga wa kuongea na wandishi wa habari na kuwapa msimamo wa serikali na kuacha wananchi wamchambue kadri wapendavyo. Mwenyewe JK hili limemshinda, matokeo yake Membe anakazi ngumu ya kuongelea hata mambo ambayo hayako kwenye wizara yake na kujaribu kuu cover uozo na mapungufu ya JK.
Nimemsikia Membe akiongea radioni several times, the guy can speak what he thinks is right na sio mwoga kutoa msimamo wa serikali, hata kama wananchi wataukataa. To the contrary nikamsikia Pinda akilialia bila kutoa msimamo wa serikali, nimemsikia Pinda akiwa kama analyst badala ya kutoa msimamo wa serikali. Nikamsikia JK, yeye hana flow ya thoughts na wakati mwingine nilitamani nimwekee maneno kinywani mwake mana anakigugumizi cha mawazo.
NINA SWALI HAPA:
Hivi kuna kiongozi MUISLAAM ambaye alishawahi kushambuliwa na Game Theory?
Naomba jibu la ndiyo au hapana kama una uhakika ili niweke rekodi zangu sawa. Tafadhali usiingize story zaidi au maneno mengi ambayo mie siyataki. Jibu fupi tu nahitaji.
Zungumzeni yoote mnayoyataka lakini mimi binafsi bado namchagua Membe kuwa mmoja wa viongozi bora tulowahi kupata, sema tu anafikiri tofauti sana na Wadanganyika wengi. Na sababu kubwa ni kwamba hata wasomi wetu bado wana fikra za Utumwa, elimu yao ya kuelewa ni duni kwa sababu wengi wao wamefanya kukariri elimu yao kama ilivyoandikwa ktk vitabu..
Membe kafanya kipi cha ajabu?.. Vitambulisho vya Uraia!.hamtaki nambieni why? na mnipe mfano wa nchi yeyote huru inayofanya hivyo muonavyo. Je, ni hilo deal na Libya kuna ubaya gani!...Je mnajua ni mikataba mingapi ambayo mwalimu na Mwinyi waliingia mikataba na Libyapasipo nyie kufahamu kitu! Ama ni swala la OIC, kuna tatizo gani kulizungumzia ikiwa muswada umewakilishwa...hii kama sii udini wa fikra zenu kipi kingine! bila shaka Ufinyu wa kuelewa.
Kwa nini kwanza msijichunguze nyie wenyewe kuangalia fikra zenu zilivyopwaya ktk dunia hii ya leo..
Katika mjadala wake wa Dual citizenship niliwasoma wasomi wetu jinsi wanavyofikiria na hata yeye Membe alipokuwa akitoa hoja zake hawakumwelewa kabisaaaa! Kifupi ule mjadala ulitoa picha halisi ya wasomi wetu ambao matamanio na husda ya nafsi zao ndio kumejenga elimu yao..
Binafsi namjua Membe toka akiwa Ubalozini Canada na nitasema tena hakuna watu waliokuwa karibu na wananchi kama Membe, Aziz, Mama Chipungahelo, na sasa hivi Richard Tibandibage na Sokoine.. Hawa ni watu walioonyesha mwamko mkubwa sana ktk uongozi na wanazitumia vizuri nafasi zao ktk madaraka toka wakiwa ngazi za chini..na kwa bahati mbaya hawa wote hawakupendwa toka utawala wa Mkapa.
Isje kuwa hizi ni mbinu za watu wanaotafuta sifa..Membe ni mmoja wa viongozi bora ktk nafasi hiyo kwa sababu ndiye pekee ktk nafasi hiyo ameweza kuweka sera zinazowahusu Watanzania. iwe mnazipenda ama hamzipendi lakini he is the only one amesimama kuhakikisha baadhi ya maswala mazito na yenye utata yanazungumziwa na pengine kupewa sheria. Mawaziri wote wa nje siku zote wamekuwa wakikimbia hoja, hakuna aliyesimama ama kuzungumza kwa maslahi ya wananchi ktk maswala mazito ya jamii, zaidi ya kuwakiliwa nchi na siasa zetu nje...
What else mnachokitaka toka kwa Waziri wa mambo ya nje? awe kimya kama waliopita wakiwakilisha tusichokifahamu?..Kama unapingana na Mheshimiwa Membe weka hoja zako hapa wazi tuzijadili na toa mwelekeo unaofaa na sababu zake ili nasi tuyaone makosa ya Mh. Membe..Mnamwita mwongo tufahamisheni uongo wake uko wapi na utaathiri vipi maslahi ya nchi yetu..
Aaaaah watu wa Mkapa jamani hawaishi kujenga fitna wakiona urafiki wa JK na Membe kuwa sababu ya kupewa madaraka wakati wao walipeana nafasi kufuata koo za kuoleana nyumba moja...
GT, ili kulinda heshima yako, jitokeze utueleze Membe anahatarisha vipi usalama wa nchi, na amemuongopea nani, lini na kwa jambo gani? Linda heshima yako kabla sijakuumbua. Tunahitaji kukomesha tabia ya mtu kuzuka na ujinga wake huko halafu anatuletea hapa JF, na wenzangu bila kufanya utafiti wa kufaa munachangia kwa jazba. Mwambieni GT atujibu maswali hayo kama kweli yeye ni mkweli.
sio GT aliyesema kuwa Membe ni MUONGO NI MIMI KANDA2 ndiye niliyesema kuwa toka nchi yetu inapata uhuru haijawahi KUPATA WAZIRI MUONGO, NDUMILAKUWILI,MFITINI,MZUSHI,MWENYE POROJO NA LAGHAI KAMA MEMBE.
sio GT ni mimi mkuu wangu.na ukweli ndio huo hata Foreign anajulikana MEMBE KWA uongo baadhi ya wafanyakazi wake humuita MR.Pwagu.
by the way sidhani kama GT ana njaa ya kuajiriwa Foreign, kwa elimu na kila kitu Membe hana uwezo wa kumuajiri GT.
mwambie Membe aache au apunguze hayo niliyoyataja hapo juu.UONGO namba moja kuwa Mheshimiwa KIKWETE ndio chaguo lake,
wakati juzi tu JK akiwa bungeni katuasa tuwaogope watu kama MEMBE wanaotumia kivuli chake.kama ana sifa kwanini atumie mgongo wa Rais?
mara utamsikia kuwa yeye ndiye waziri Kipenzi wa Ban-KIMON kuliko mawaziri wote wa mambo za nje duniani, sasa huo ni kweli kwako?
halafu anaweza kuwa anaongea na Malinzi utasikia nilipokuwa na mheshimiwa Rais nikamwambia kuna huyu mfanyabiashara Malinzi,basi rais akanikubalia akakusifu sana.
akiwa na mkuu wa mkoa fulani atamdanganya nimeongea na JK nikamshauri uletwe hapa halafu baadae tutakupeleka sehemu fulani,ni laghai 24 mara 7.
Kuna hii sifa ya Membe, well sijui kama ni kweli lakini nilipata kuisikia kutoka kwenye mojawapo ya top guys in the govt mwaka jana and I really mean one of the top ones.
MEMBE NI MZEE WA KUJIPENDEKEZA PENDEKEZA KUPITA KIASI
Zungumzeni yoote mnayoyataka lakini mimi binafsi bado namchagua Membe kuwa mmoja wa viongozi bora tulowahi kupata, sema tu anafikiri tofauti sana na Wadanganyika wengi. Na sababu kubwa ni kwamba hata wasomi wetu bado wana fikra za Utumwa, elimu yao ya kuelewa ni duni kwa sababu wengi wao wamefanya kukariri elimu yao kama ilivyoandikwa ktk vitabu..
Membe kafanya kipi cha ajabu?.. Vitambulisho vya Uraia!.hamtaki nambieni why? na mnipe mfano wa nchi yeyote huru inayofanya hivyo muonavyo. Je, ni hilo deal na Libya kuna ubaya gani!...Je mnajua ni mikataba mingapi ambayo mwalimu na Mwinyi waliingia mikataba na Libyapasipo nyie kufahamu kitu! Ama ni swala la OIC, kuna tatizo gani kulizungumzia ikiwa muswada umewakilishwa...hii kama sii udini wa fikra zenu kipi kingine! bila shaka Ufinyu wa kuelewa.
Kwa nini kwanza msijichunguze nyie wenyewe kuangalia fikra zenu zilivyopwaya ktk dunia hii ya leo..
Katika mjadala wake wa Dual citizenship niliwasoma wasomi wetu jinsi wanavyofikiria na hata yeye Membe alipokuwa akitoa hoja zake hawakumwelewa kabisaaaa! Kifupi ule mjadala ulitoa picha halisi ya wasomi wetu ambao matamanio na husda ya nafsi zao ndio kumejenga elimu yao..
Binafsi namjua Membe toka akiwa Ubalozini Canada na nitasema tena hakuna watu waliokuwa karibu na wananchi kama Membe, Aziz, Mama Chipungahelo, na sasa hivi Richard Tibandibage na Sokoine.. Hawa ni watu walioonyesha mwamko mkubwa sana ktk uongozi na wanazitumia vizuri nafasi zao ktk madaraka toka wakiwa ngazi za chini..na kwa bahati mbaya hawa wote hawakupendwa toka utawala wa Mkapa.
Isje kuwa hizi ni mbinu za watu wanaotafuta sifa..Membe ni mmoja wa viongozi bora ktk nafasi hiyo kwa sababu ndiye pekee ktk nafasi hiyo ameweza kuweka sera zinazowahusu Watanzania. iwe mnazipenda ama hamzipendi lakini he is the only one amesimama kuhakikisha baadhi ya maswala mazito na yenye utata yanazungumziwa na pengine kupewa sheria. Mawaziri wote wa nje siku zote wamekuwa wakikimbia hoja, hakuna aliyesimama ama kuzungumza kwa maslahi ya wananchi ktk maswala mazito ya jamii, zaidi ya kuwakiliwa nchi na siasa zetu nje...
What else mnachokitaka toka kwa Waziri wa mambo ya nje? awe kimya kama waliopita wakiwakilisha tusichokifahamu?..Kama unapingana na Mheshimiwa Membe weka hoja zako hapa wazi tuzijadili na toa mwelekeo unaofaa na sababu zake ili nasi tuyaone makosa ya Mh. Membe..Mnamwita mwongo tufahamisheni uongo wake uko wapi na utaathiri vipi maslahi ya nchi yetu..
Aaaaah watu wa Mkapa jamani hawaishi kujenga fitna wakiona urafiki wa JK na Membe kuwa sababu ya kupewa madaraka wakati wao walipeana nafasi kufuata koo za kuoleana nyumba moja...
Hii mbona kama imekaa personal attack kuliko hoja ya kwanini Membe ana matatizo. Sijawahi kumsikia akijisifu kwamba yeye ni chagua la Kikwete au ni rafiki wa Ban ki Moon, unless unahoja ya kuthibitisha hayo. Naona mambo mengine ni kama wanamzulia tu hayana ukweli wowotesio GT aliyesema kuwa Membe ni MUONGO NI MIMI KANDA2 ndiye niliyesema kuwa toka nchi yetu inapata uhuru haijawahi KUPATA WAZIRI MUONGO, NDUMILAKUWILI,MFITINI,MZUSHI,MWENYE POROJO NA LAGHAI KAMA MEMBE.
sio GT ni mimi mkuu wangu.na ukweli ndio huo hata Foreign anajulikana MEMBE KWA uongo baadhi ya wafanyakazi wake humuita MR.Pwagu.
by the way sidhani kama GT ana njaa ya kuajiriwa Foreign, kwa elimu na kila kitu Membe hana uwezo wa kumuajiri GT.
mwambie Membe aache au apunguze hayo niliyoyataja hapo juu.UONGO namba moja kuwa Mheshimiwa KIKWETE ndio chaguo lake,
wakati juzi tu JK akiwa bungeni katuasa tuwaogope watu kama MEMBE wanaotumia kivuli chake.kama ana sifa kwanini atumie mgongo wa Rais?
mara utamsikia kuwa yeye ndiye waziri Kipenzi wa Ban-KIMON kuliko mawaziri wote wa mambo za nje duniani, sasa huo ni kweli kwako?
halafu anaweza kuwa anaongea na Malinzi utasikia nilipokuwa na mheshimiwa Rais nikamwambia kuna huyu mfanyabiashara Malinzi,basi rais akanikubalia akakusifu sana.
akiwa na mkuu wa mkoa fulani atamdanganya nimeongea na JK nikamshauri uletwe hapa halafu baadae tutakupeleka sehemu fulani,ni laghai 24 mara 7.
Mkandara,
Membe haijui Tanzania na Watanzania. Atawafaa sana ninyi mlioko nje. Vinginevyo kama unataka akabembee kule Jamaica sawa.
Mkandara kukaa na Membe Canada na wewe kuishi naye vizuri haina maana ndio mzuri kwa watanzania wote. Chenge alipokwenda kwao kapokelewa kwa maandamano ina maana kwa wenzetu ni shujaa.kama wewe umekaa naye kwa miaka yote umeshindwa kujua kuwa jamaa Muongo wa karne, hata nikikuambia utapinga.lakini muda upo na haya ninayoyasema kama MEMBE hata badilika utayasikia na wengi wanajua hivyo.
masikini yeye anajua watu hawamjui tabia yake. hata kama JK ni rafiki yake lakini Urais hautolewi na JK.Mkapa alikuwa na watu wake wawili lakini urais ukaenda kwa JK.
DR.Salmin Amour alikuwa na mtu wake DR.BILAL lakini urais umekwenda kwa Karume.kwa hiyo unataka kusema kuwa Mkapa alipokuwa Foreign hakuwa makini kama Membe? Migiro naye hana ubavu mbele ya RAIS wako wa CANADA-MEMBE?
KAKA MKANDARA narudia tena MEMBE NI MUONGO,LAGHAI,MCHONGANISHI NA MFITINI hana sifa ya uongozi labda awe waziri wa habari. bora unipe Magufuri ingawa naye anachukua rushwa kama kawaida lakini yuko serious sio Membe.
lakini unajua nini kilimleta huko Canada Aziz? muulize mzee Butiku.
Mkuu wangu siku zote kuwa mwepesi kutambua kwamba ubora wa binadamu huanza na hulka ya mtu na haiwezi danganya watu wote. Na hakika mimi sii mmjoa wa watu wanaopanda mkenge kirahisi..Huyo Chenge kapokelewa kwao kwa maandamano haina maana mtu mwingine yeyote atakaye pokelewa kwa maandamano sii mbora pia wala haiwezi kuwa kinyume kwamba asiyepokelewa kwa maandamano ndiye mbora. Mfano wako wa Chenge hauwezi kutumika kwa Membe na pia sidhani kama huo uongo unaozungumzia unakuhusu muda ulokaa naye wewe kumfahamu vizuri Membe zaidi yangu.
Mimi sikuwa na ukaribu naye (Membe) hivyo, wala wengine wote nilowataja hapo nyuma. Sikuwa karibu na kiongozi yeyote nchi ama Canada, still naweza sema mazuri ya kiongozi. Kisha basi sidhani kama wewe upo karibu na Membe ama unaishi naye Tanzania hivyo unamfahamu vizuri. Huna ukaribu huo isipokuwa ni chuki za kisiasa na PENGINE unatumiwa..Hii ndizo siasa za Bongo kwani huwezi kumwitta mtu mwongo pasipo yeye kukuongopea jambo iwe wewe ama Taifa zima. kibaya zaidi mnashindwa hata kuutaja UONGO wake hadharani maana mnayatunga ya fitna kama tamthiria za kiyahudi. Labda wewe nambie Aziz ambaye ni balozi leo France alipelekwa Canada kufanya nini, maanake wewe wajua zaidi! Na inahusu vipi na yeye kuwa mmoja wa viongozi bora (ubalozi) ambao mimi nimewapitisha.
Wewe nambie uongo wake, kakuongopea ama katuongopea nini? Huyu ni kiongozi ambaye anafuata msimamo wa nchi kimataifa, laukama Membe katunga sheria ama maamuzi kinyume cha sheria tupe somo...maanake hata Tarik Mohammed Aziz alikuwa foreign minister wa Saadam na ali represent nchi yake kama alivyoagizwa na nchi yake. Ukimwita Aziz alikuwa mwongo mnafiki na kadhalika hilo litakuwa juu yako kwani sii makosa yako kutofahamu. Foreign minister wa Mugabe, Mubarak, Bush, Obama na wengineo wote hufanya kazi zao kulingana na msimamo wa mtawala, kuwahukumu wao ni kutofahamu utawala..
Nimesema jamaa ni mtu safi na kiongozi bora mwenye upeo mkubwa ktk maswala mengi ya ushirikiano. Siwezi kumlinganisha na kiongozi mwingine yeyote katika nafasi hiyo kwani ndiye pekee ameweza kuleta mijadala migumu na yenye uatata akitoa msimamo wake kwa maelezo ambayo wewe na wengineo hamyapendi...
Mkuu wangu tuna viongozi wengi magalasha Tanzania, na sidhani kama unatumia kipimo chochote kwani umeshindwa kabisa kusema lolote linalohusiana na accussation zako. Tumia mfano wangu siku zote nikimponda mtu huanza na makosa yake kisha kuanduika kilichotakiw akufanyika..Hapo hufungua hoja ya kujadili lakini hizi habari za mwongo, pasipo kusema alikuahidi nini hakutimiza.... sijui ni mtu wa kujipendekeza na kadhalika... hii picha isokuwa na rangi kabisa kwani hakuna kiongozi wala mtu yeyote asiyejipendekeza, hii ni kwa sababu kila mwenye nafasi ya fulani hutegemea mtu ama watu wengine kumpitisha...Ndivyo system inavyofanya kazi iwe JK au Obama, biashara ama unyumba. yote huetegemea jinsi unavyotumia nafasi hizo na kwa maslahi ya nani..