fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,543
ππππππππHiki ndo kinachoendelea CCM
Kumbe alipo ndio nyumbani kwake
ππππππππHiki ndo kinachoendelea CCM
Ishi kama vile utaishi milele acha kukata tamaa ukianguka usiangaliye nyuma nyanyuka songa mbele!Baba wa watu kazeeka, haki ya Mungu kwa umri kama wa Membe mimi hata kugombea ujumbe wa serikali ya mtaa hunioni...napenda sana "amani ya moyo wangu" Hizi siasa za maji taka na kuvuana nguo hadharani siwezi hata kidogo
7 Julai 2020
Rondo, Lindi
Tanzania
βCCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani β Bernard Membe
Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya.
Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'. Hii hapa ndio sehemu ya mazungumzo hayo.
Hapo Jana Bernard Membe,aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na kada wa muda mrefu wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), alirudisha kadi yake ya uanachama wa CCM kitendo kilichomaanisha ukomo rasmi wa uanachama wake CCM.
Source: BBC Swahili
Baba wa watu kazeeka, haki ya Mungu kwa umri kama wa Membe mimi hata kugombea ujumbe wa serikali ya mtaa hunioni...napenda sana "amani ya moyo wangu" Hizi siasa za maji taka na kuvuana nguo hadharani siwezi hata kidogo
Mkuu hapa sio kuanguka na kunyanyuka! hapa mtu una kila kitu: pesa, heshima, usalama, nk. ila unataka kuonyesha "ulimwengu" kuwa una haki, badala kuacha ulimwengu wenyewe uamue kuwa una haki au la.Ishi kama vile utaishi milele acha kukata tamaa ukianguka usiangaliye nyuma nyanyuka songa mbele!
Umeongea vizuri sana, Subira ndo iliyomgharimu membe. Inaonekana zile expectations zake za 2015 bado zilikua zinaendelea kumla ndani kwa ndani. Hakutegemea game ingebadilika vile mpaka akaporwa tonge mdomoni. Hapa ndipo naamini maneno ya Salmin Amour, kwamba U Rais unakuja kwa ridhaa za watu na idhini ya Mwenyezi Mungu. Mungu hakumpa idhini yeye kuwa Rais, ndo maana yakatokea yale yaliyotokea. Hili lazima alikubali. Kama angejifunza kwa yale yaliyomtokea Kikwete mwaka 95, pamoja na kushinda kwenye kura za maoni lakini akaambiwa kura zake hazitoshi. Lakini alivuta subira na baada ya miaka 10 kwa idhini ya M/Mungu akawa Rais.
Utamaduni huu wa chama wa kumwachia Rais aliye madarakani kumalizia muhula wa pili bila kupingwa, naye ameuishi na kuubariki akiwa ndani ya CCM tena akiwa kwenye vyombo vikuu vya maamuzi. Kama hakua anakubaliana nao, alipaswa kuupinga tokea kipindi hicho Kwanni aje kuupinga sasa wakati akiwa na maslahi yake binafsi. Matokeo yake akaanza kuleta chokochoko za kutaka kuuharibu utamaduni wa chama. Ukileta chokochoko kwenye chama lazima nawwe uchokolewe that is merely a Principal.
Angalau nimejua kuwa siasa tu ndiyo kazi, tena siasa za kuraruana! Mbona Mzee Lowassa alieleweka kuwa ni mpinzani?Rais wa malawi chakwera kaapishwa akiwa na miaka 65
Acha kuwa na akili ya kukata tamaa katika maisha utakufa masikini
Pambana mpaka daikika ya mwisho,membe bado mdogo sana huyo,magufuri ana miaka 61 je hajazeeka,na kama kazeeka je aache urais?
Nina uhakika utakufa masikini wewe
7 Julai 2020
Rondo, Lindi
Tanzania
βCCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani β Bernard Membe
Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya.
Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'. Hii hapa ndio sehemu ya mazungumzo hayo.
Hapo Jana Bernard Membe,aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na kada wa muda mrefu wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), alirudisha kadi yake ya uanachama wa CCM kitendo kilichomaanisha ukomo rasmi wa uanachama wake CCM.
Source: BBC Swahili
7 Julai 2020
Rondo, Lindi
Tanzania
βCCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani β Bernard Membe
Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya.
Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'. Hii hapa ndio sehemu ya mazungumzo hayo.
Hapo Jana Bernard Membe,aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na kada wa muda mrefu wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), alirudisha kadi yake ya uanachama wa CCM kitendo kilichomaanisha ukomo rasmi wa uanachama wake CCM.
Source: BBC Swahili
Hawezi ushindani wowoteKumbe kuondoka kwa Membe ni kwasababu ya woga wa jiwe kupata changamoto za urais. Basi ataona mwaka huu.
7 Julai 2020
Rondo, Lindi
Tanzania
βCCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani β Bernard Membe
Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya.
Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'. Hii hapa ndio sehemu ya mazungumzo hayo.
Hapo Jana Bernard Membe,aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na kada wa muda mrefu wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), alirudisha kadi yake ya uanachama wa CCM kitendo kilichomaanisha ukomo rasmi wa uanachama wake CCM.
Source: BBC Swahili
Mbona Kikwete alikuja na Ari Mpya na Nguvu Mpya, lakini Mwinyi na Mkapa hawakumfanyia zengwe? Kwa nini wastaafu wote wasiwe kama mzee Mwinyi ambaye anaaminini kabisa kuwa kila zama ina kitabu chake na siku zote huwa hajipimi utawala wake na uliopo bali anaangalia nchi inakokwenda tu? Katika mambo ya utawala usitegemee kila siku uwe unapewa credit.Nasikia harufu ya mzee wa Msoga kwa mbali akipiga jaramba chini kwa chini.
Waandishi mnaoendelea kumuhoji, muwe macho hii nchi ishabadilika.
Huu ubaguzi haujaishia kwa wapinzani tu, sasa umejikita mpaka kwenye chama chao!
Sasa mtaanza kuyaelewa maneno ya Lissu kwa vitendo.
Huyu Jamaa ni mwamba.
Aaminiwe?????