Membe: Kuna CCM Mpya na CCM ya Zamani

Nasikia harufu ya mzee wa Msoga kw mbali akipiga jaramba chini kwa chini.

Waandishi mnaoendelea kumuhoji, muwe macho,hii nchi ishabadilika.

Huu ubaguzi haujaishia kwa wapinzani tu,sasa umejikita mpaka kwenye chama chao!

Sasa mtaanza kuyaelewa maneno ya Lissu kwa vitendo.

Ingoma inogile!
 
7 Julai 2020
Rondo, Lindi
Tanzania

’CCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani ’ Bernard Membe


Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya.



Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'. Hii hapa ndio sehemu ya mazungumzo hayo.

Hapo Jana Bernard Membe,aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na kada wa muda mrefu wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), alirudisha kadi yake ya uanachama wa CCM kitendo kilichomaanisha ukomo rasmi wa uanachama wake CCM.

Source : BBC News Swahili

Hili ni somo kwa Mwigulu Nchemba japo jina ni la kufoji
 
7 Julai 2020
Rondo, Lindi
Tanzania

’CCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani ’ Bernard Membe


Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya.



Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'. Hii hapa ndio sehemu ya mazungumzo hayo.

Hapo Jana Bernard Membe,aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na kada wa muda mrefu wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), alirudisha kadi yake ya uanachama wa CCM kitendo kilichomaanisha ukomo rasmi wa uanachama wake CCM.

Source : BBC News Swahili

Kila zama na kitabu chake! Huyu mzee angetulia tu acheze na wajukuu! Kala mema ya nchi, kashiriki kikamilifu kujenga mifumo ya kifisadi, tumepeta jembe la kurekebisha, makalio yake membe yanalia mbwata mbwata. JPM 4 change
 
Ameshavuruga vyama vingapi?
hii ni nchi ya wendawazimu, mimi sielewi shida ya Maembe, hana kosa lolote na kafukuzwa kwenye chama kimakosa na kweli kaonewa!!! na waliomuonea will pay back one day!!

Mi sioni kosa la Maembe kama chama chenyewe kimeweka ruhusa mwanachama yoyote kugombea sambamba na Rais kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama kwenye uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge!! Maembe is like me, an opportunist , kaona fursa ya kuvamia Urais ipo akaangalia umri wake unasonga akatangaza nia tu basi akawa AN ENEMY OF THE PEOPLE! kwa kosa lipi?!

Maembe lives in modernity and he think differently and kisasa zaidi , si katika wale wahafidhina wanaosema tumeamua nyeupe iitwe nyeusi unawaambia lakini hii ni nyeupe wanasema you must follow what we tell you!!! mi namtakia Maembe kila la kheri kwenye mbio zake, ni vizuri sasa achukue haraka chama kimoja agombee Urais kisha akishindwa ajijenge kwa nguvu for five years labda baada ya hapo if Allah is in his side anaweza kushinda!
 
Si busara kumsema babako kuwa hakukufanyia chochote kisa hajakusomesha wakati umezaliwa na kukulia ndani ya nyumba yake hadi umefikia umri wa kufukuzia madem.
Yeye Membe ndo anasema! wastaafu wote jpm anashirikiana nao kwa karibu: Soon Membe atapelekwa milembe, sio kwa kuchanganyikiwa huko
 
Hiki ndo kinachoendelea CCM

CCM Tunayoijuwa sisi ilikuwa Kila kitu tunajitolea kujenga ofisi na Mengine kwa nguvu zetu

Ccm mpya ni Chama dola .. hakuna watu wa kujitolea hata bendera wanapandishiwa na askari au wafungwa
Bendera za wenzao wanatuma Polisi washushe

IMG_2637.jpg
 
He he he bila shaka CCM mpya ndio ile ya wahamiaji haramu ambao kwa mshangao wa CCM waenyeji wahamiaji ndio wamehodhi madaraka.
 
Juzi makonda kajenga maofisi ya ccm na kawakabidhi kinondoni ...taarifa hadi tena tiss na Takukuru wanajua kuwa makonda anashitutisha rushwa kwa makandarasi mkoa wa DAR kwa jina la kujenga ofisi za ccm huku 2/10 tu ndio akiiprleka ccm inayobaki yake
Miradi yote makubwa inayoendelea Mfano Machinjio ;barabara ; stand kuu wamempa mamilioni ya pesa na vifaa vya Ujenzi Kwa jina la ccm inayopata peanut

Kila kitu kiko documented ndio maana kina gambo nao wakamuiga kutaka pesa kwenye stand na miradi ya maji
 
Back
Top Bottom