Heri ya Membe kuliko ma-mvi. Jamaa wa kaskazini ametumia, bado anatumia gharama kubwa kutafuta kuwa mpangaji magogoni,jumba namba moja nchini. Nini chanzo cha hizo pesa,nini lengo lake,atarudishaje hizo gharama. Kama CCM hawana mwingine zaidi yake, watakuwa wameshindwa asubuhi. Mr white hair hasafishiki
Mkuu hasafishiki kwa kivip, maana hana tuhuma wala hatujaona akiburuzwa mahakamani, au wewe una ushahidi kidogo utueleze na wana JF tuelewe....
Ma Presdent is Lowassa God bless Him
Amesema wakati akichukua fomu hapo Dodomd. Amesema asingeficha kama angezaliwa baba mmoja yeye na Jakaya!
kitu unachotakiwa kujua ni kwamba, Lowasa angepigwa chini endapo atateuliwa na ccm ingedondoka kama wapiga kura wasingekuwa watz. lakini kwa watz hawa tulionao, ndugu yangu amini usiamini lowasa akisimama atapata kura nyingi kuliko hata alizopata kikwete, kwasababu watz huwa wanasahau na kudanganyika kwa kitu kidogo sana.Heri ya Membe kuliko ma-mvi. Jamaa wa kaskazini ametumia, bado anatumia gharama kubwa kutafuta kuwa mpangaji magogoni,jumba namba moja nchini. Nini chanzo cha hizo pesa,nini lengo lake,atarudishaje hizo gharama. Kama CCM hawana mwingine zaidi yake, watakuwa wameshindwa asubuhi. Mr white hair hasafishiki
Mkuu hasafishiki kwa kivip, maana hana tuhuma wala hatujaona akiburuzwa mahakamani, au wewe una ushahidi kidogo utueleze na wana JF tuelewe....
Vuvuzela ndo yule mwenezi?
Heri ya Membe kuliko ma-mvi. Jamaa wa kaskazini ametumia, bado anatumia gharama kubwa kutafuta kuwa mpangaji magogoni,jumba namba moja nchini. Nini chanzo cha hizo pesa,nini lengo lake,atarudishaje hizo gharama. Kama CCM hawana mwingine zaidi yake, watakuwa wameshindwa asubuhi. Mr white hair hasafishiki
Nina wasi wasi na hata mkewe Membe, mbona anataka kumfanana na mke wa Jk? hawa watu wana siri ya mtungi.
magufuli rais2015,mtu anayekubalika vijini na mijiji na hasiye na mtandao wa kundi la watu la kumnadi bali anajinadi mwenye kwa utumishi wake unaokubalika kwa watz wote.
magufuli rais2015,mtu anayekubalika vijini na mijiji na hasiye na mtandao wa kundi la watu la kumnadi bali anajinadi mwenye kwa utumishi wake unaokubalika kwa watz wote.
Nakubaliana na wewe 100% kwa 100% kuwa taifa letu hapa lilipofika, linamuhitaji rais wa type ya Magufuli, Mwigulu Nchemba ndie awe Waziri Mkuu wake, yaani Tanzania sasa inahitaji rais wa some kind of dictatorship ambapo Magufuli anafit sifa hizo, ila ukiangalia historia za uchaguzi wa CCM, siku zote they never pick the best but the worst!. Ile 2005 kati ya watatu waliofika mwisho, Dr. Salim, Prof. Mwandosya na Jakaya Kikwete, kwenye every aspect, JK ndio alikuwa the worst, tukianzia kwenye Brain powers, kumlinganisha JK, Dr. Salim na Prof. Mwandosya, JK ni kama kilaza, ila ndie aliyechaguliwa!. Tukija kwenye uadilifu personal, JK was the worst, lakini ndie aliyechaguliwa!. Unaweza kuniambia JK alichaguliwa kwa sifa zipi?!.CCM MAGUFULI ndo mtu pekee mwenywe uwezo wakuwanadi wabunge wenu kwenye majukwa ja siasa na watu wakakubali vinginevyo mtatengeneza serikali ya mseto,najua urais mtapata lkn wabunge,jipange fanya maamuzi ya tija.
Huu ukaskazini ndio unatufanya wakaskazini tuchangishane fedha kwa ajili ya Lowassa. Wewe Msengerema kuwa na adabu acha ubaguzi. Mbona nyie waswahili mmetutawala Mara 2.
Nina wasi wasi na hata mkewe Membe, mbona anataka kumfanana na mke wa Jk? hawa watu wana siri ya mtungi.